Kumficha Baba wa Mtoto lila ugomvi ni uamuzi sahihi au la?

Asante sana

😅😅 hivi wanaume hua hamjali miili yenu ?
Miili ya wanaume haikuumbwa kulelewa kinyanya nyanya, ndiyo maana tukaumbiwa kuhudumia familia, kufanya kazi ngumu msizoweza ninyi wanawake nk.

Hivyo naturally mwili wa mwanaume haupaswi kuwekewa neno "Kujali", maana ili naturally unapaswa ushughulishwe😎
 
Hapa nakubari sawa

Ila sio kutumia kila kinachokatiza mbele yako akhaaa
Nyie hamuwezi kusema hapana??
 
Kuna phases ktk hili.

Trust me, hakuna mwanaume hatari ktk kila nyanja kama yule aliyefikia level ya kutambua "His Strengths & Manhoodness" ipo ktk ability ya kuzuia lust.

Katoliki hawakuwa wajinga wala hawakukurupuka walipointroduce utamaduni wa Mapadre na Maaskofu kutokuoa.

Wazee wetu wa zamani pia hawakuwa wajinga kutenganisha nyumba za wanawake na wanaume, yani baba na watoto wake wa kiume walikuwa wanalala nyumba tofauti na wanawake. Mke na Mume walikuwa wanakutana mara chache.

Hata ule utamaduni wa Polygamy ulikuwa kwa ajili ya kupata watoto wengi na kukuza nguvukazi, haukuwa kwa ajili ya tamaa za mababu zetu.

Na kufikia hii level ya comprehension inachukua muda unless mwanaume akalishwe chini apewe elimu kwa mapana na marefu.

Hivyo ukiona mwanaume hajali nguvu zake za kiunoni, huyo bado hajaelewa mambo yanavyoenda.
 
Hiyo point yako ni nzuri, lakini najiuliza wewe binafsi umefikia hiyo level ya selfcontrol unayoisema?😀

Kama ndio why umewaza kujitolea sperm
 
Nilishaifikia, ndiyo maana nayasema hayo.

Kujitolea sperm ni sawa endapo haufanyi for leisure ila for the right purpose.

Wenzetu 1st World countries siku hizi wana Sperm Banks kabisa kwenye hospitali zako kama ambavyo wana Blood Banks, watu wanafanya donation.
 
Hivi kuna madhara yoyote mwanamke akishika ujauzito na kuamua kumficha mwanaume bila kuwa na ugomvi au tatizo lolote kati yao, kwa lengo la kumlea mtoto peke yake?

Pia, ikiwa mwanaume huyo hatakuja kufahamu maisha yake yote kwamba ana mtoto na mwanamke huyo, je, kuna kosa lolote kwa mwanamke kufanya hivyo ili mtoto awe wake peke yake?

ShesRise_1 🖐
Mapenzi yana Run Dunia.
Umeshapenda wewe na hapo huchomoki Hadi umekuja kuomba ushauri hapa.

Ila humu kuna mmama namtaka sana
Nisaidie ku-share
 
Ongeza sauti watu wanajifanya kupinga kama vile haiwezekani
Inawezekana Ila ubinafsi na ukatili.
Hiyo inaweza kuwa kitu sahihi endapo mtoto amezaliwa kwenye 'incest' au kubakwa.

Incest ni ngono kati ya ndugu wa damu. Mfano kaka na dada, baba na bintiye, mama na mwanaye wa kiume.
Hapo inakuwa vizuri kumficha mtoto baba yake.
Au akilelewa na baba unamficha mama yake.
 
Umeeleweka vizuri sana shukrani kaka
 
Penzi gani mie mwenyewe nipo hoi sijui kama na mpenzi au sina 🤣🤣
Macho yanaona Mbali Ila akili inaona Mbali Zaidi.

Mapenzi matamu Sana.
Tatizo huyu mmama anatamaniwa na vijana wengi saana humu.

Hahahahhah Wacha nilipe madeni kwanza
 
Kumbe yupo humu🤣🤣
 
Back
Top Bottom