Kumficha Baba wa Mtoto lila ugomvi ni uamuzi sahihi au la?

Kumficha Baba wa Mtoto lila ugomvi ni uamuzi sahihi au la?

Ubinafsi hapo upo wapi mbona watoto waliofiwa na baba zao wanaishi vizuri tu
Umesema wanaofiwa.
Baba zao wameishakufa hivyo hawana chaguo.
Yeye analo chaguo linashikiliwa na mama yake (wewe) mpaka atakapokuwa mkubwa.
Hivi umewai kuwauliza hao wasio na baba wakakuambia wanapenda hiyo hali?
Hawatamani kukaa na baba yao wakamuuliza maswali au kumuomba awafanyie kitu fulani?
 
Umesema wanaofiwa.
Baba zao wameishakufa hivyo hawana chaguo.
Yeye analo chaguo linashikiliwa na mama yake (wewe) mpaka atakapokuwa mkubwa.
Hivi umewai kuwatuliza hao wasio na baba wakakuambia wanapenda hiyo hali?
Hawatamani kukaa na baba yao wakamuuliza maswali au kumuomba awafanyie kitu fulani?
Heh haya sawa asante kwa maoni yako mkuu
 
Mtoto ninaemzunguzia hapa ni hata kua na baba kabisa ili awe wangu peke yangu ndio maana yangu
Nimekuelewa Ila sasa kutokana na sisi binadamu tulivyo lzm tuulize baba Ake yupi mara hv hii inapelekea kutengeneza mazingira fulani ya kuonekna baba kumbe sio.... Maake ukisema nimemficha ni wachache wanaokuelewa
 
Ipo siku nitasimulia kaka nakuahidi na nitakutag maana sio wewe tu ni wengi wamependq kujua chanzo cha jina hili.

Tuombe uzima ,kikubwa nawaza nitatumia maneno gani fiche mpaka nisijulikane maana sidhani kama nitakuwa mgeni masikioni mwako
Basi tena unaanza kuharibu
 
Heh haya sawa asante kwa maoni yako mkuu

Ipo siku nitasimulia kaka nakuahidi na nitakutag maana sio wewe tu ni wengi wamependq kujua chanzo cha jina hili.

Tuombe uzima ,kikubwa nawaza nitatumia maneno gani fiche mpaka nisijulikane maana sidhani kama nitakuwa mgeni masikioni mwako
zaidi ya jf sikufahamu labda kukusikia km ni relevant
 
Nimekuelewa Ila sasa kutokana na sisi binadamu tulivyo lzm tuulize baba Ake yupi mara hv hii inapelekea kutengeneza mazingira fulani ya kuonekna baba kumbe sio.... Maake ukisema nimemficha ni wachache wanaokuelewa
Sawa Asante
 
Sasa hapo uyole ukiwa makasini niambie maana nina dada angu anauza genge soko mjinga hapo😂😂😂😂😂😂😂😂
Mh unataka nikutane na dada yako kaka ,hapana sikuahidi kwenda nilidhani nionane na mzee wako labda .

Hivi nashuka na hizi noah natokea Inyala ,mpange mzee tukutane hapa msikitini nawahi hapo
 
Mkuu MKANGAFFU acha hizo mimi sihusiki na hayo mambo unayasema nipo zangu navuna mahindi na kahawa hapa Rushe karagwe

Karibu kaka kilimo kinalipa sana .
Najiita nyoka maana ni jina la utani naloitwa na jamaa zangu baada ya kuwa na tabia ya kukimbia mapigano huko bar ikiwa yatatokea basi uwa napotea kama nyoka ndiyo wakasema mimi sikimbii ila natambaa kama nyoka .

Kuna lingine mkuu naweza kukusimulia ?
Asante kwa leo inatosha.
 
Back
Top Bottom