Kumfuatilia mumeo kila hatua kwa kisingizio cha upendo kunakera sana

2019

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2018
Posts
3,130
Reaction score
4,735
Kwanza kabisa msimamo wangu, kama huo ni upendo naukataaa.

Uko kazini, unaulizwa unarudi saa ngapi? Umefika wapi? Mbona umechelewa kurudi? Angalia muda lakini!! Nashindwa kulala sababu yako.

Uko na nani? Mko Baa gani? Leo mpira unaangalia wapi? Usichelewe kurudi lakini, mtoto anasumbua amekumiss, anakutaka wewe.

Hujakaa sawa kapigiwa mshkaji ambaye uko naye, anaanza kuulizwa, "shem uko na fulani". Hii kitu imenishinda kwa kweli.

Wake mliopo ndoani au mnaishi na waume nauliza maswali kwenu naomba majibu.

1. Mume anapaswa kurudi nyumbani saa ngapi?

2. Ni sehemu gani inamfaa kuangalia mpira, banda umiza Baa yenye watoto wazuri?

3. Ikiwa umeagwa na kupewa location aliyopo kuna haja ya kucomfirm yuko na fulani kweli kwa kupiga simu?

Binafsi naona kwa level hii ni utumwa kwa mume na ni udhalilishaji pia.

Niko sawa au nazingua kwa mtazamo wangu?
 
Uachwe kufuatiliwa ili ujipindue kwa makandokando yako ya zamani?

Usihofu mkizoeana hutafuatiliwa hata ulale nje poa tu. Subiri mzoeane hakuna rangi utaacha kuona kwa mkeo.

Pendo bado bichi utafuatiliwa kila ulipo shukuru kwa hilo maana yuaja wakati utaonekana kama nyanya masalo
 
Mke wangu popote ulipo hakikisha unanimaliza nyege zote!, hiyo kwangu ni dawa tosha siwezi hata kufikiria kuchepuka!.
ila ukijifanya mwanamke bahili wakutoa kishenyentwaji basi jua kimekulamba, nitachepuka mpk kizazi kiingie ndani
 
Kwanza kabisa msimamo wangu, kama huo ni upendo naukataaa.

Uko kazini, unaulizwa unarudi saa ngapi? Umefika wapi? Mbona umechelewa kurudi? Angalia muda lakini!! Nashindwa kulala sababu yako.

Uko na nani? Mko Baa gani? Leo mpira unaangalia wapi? Usichelewe kurudi lakini, mtoto anasumbua amekumiss, anakutaka wewe.

Hujakaa sawa kapigiwa mshkaji ambaye uko naye, anaanza kuulizwa, "shem uko na fulani". Hii kitu imenishinda kwa kweli.

Wake mliopo ndoani au mnaishi na waume nauliza maswali kwenu naomba majibu.

1. Mume anapaswa kurudi nyumbani saa ngapi?

2. Ni sehemu gani inamfaa kuangalia mpira, banda umiza Baa yenye watoto wazuri?

3. Ikiwa umeagwa na kupewa location aliyopo kuna haja ya kucomfirm yuko na fulani kweli kwa kupiga simu?

Binafsi naona kwa level hii ni utumwa kwa mume na ni udhalilishaji pia.

Niko sawa au nazingua kwa mtazamo wangu?
Upo sawa mwanawane. huyo manamke sio mke ni bomu
 
Hii mke wangu wa zamani alikuwa nayo Sana,Basi siku nikaamua nilewe nirudi usiku wa manane ,narudi namkuta anafunga vilago vyake ati hawezi kuishi na muharifu ndani .

Nikaomba msamaha ila sikuwa Mimi naomba msamaha ila pombe ndiyo ziliomba msamaha ( ieleweke hivyo kwanza )

Hilo likapita nikaanza kurudi mapema ila bado alinitafutia sababu mbilingiko akaniacha
 
Kuna muda uko serious na watu muhimu afu mambo hayo nanaua mchongo, ina maana yeye hakuamini amini?
 
Back
Top Bottom