Kumfunga Maria jela miaka 22 kisa nyama ya swala ni matokeo ya kuwa na wanasheria waliokosa hekima na busara

sheria haina logic, watumeni wabunge wenu wabadili sheria.
 
Yaani kila kilo 1 Mwaka 1 jela total 22kg/per 22 yrs sentence dah this is disgusting Ila dah nahisi kuchoka mama anahitaji huruma Jamani kwani swala wapo kwenye list ya extinction Jamani [emoji24][emoji24][emoji24]
 
Kuna mwingine kafungwa miaka ishirini kwa kukutwa na bangi kg10. Hizi Sheria zetu sijui zikoje
 
kulikua na ulazima wa kumuita kenge ndugu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…