Kumfungulia biashara mwanamke ni kosa kubwa la kiufundi linalofanywa na wanaume wa kizazi hiki

Kwanini wanawake hupenda kulala tena chini kabisa kwenye maeneo yao ya biashara?

Unakuta katandika mtandio /kanga analala chini eneo la biashara

Unaongelea biashara gani? Usijekuwa unachanganya na ile biashara yao pendwa ambayo hujipatia pesa kwa kulala.
 
Unaongelea biashara gani? Usijekuwa unachanganya na ile biashara yao pendwa ambayo hujipatia pesa kwa kulala.
Baishara za kaqaida kwenye ma feemu, duka, stationery uwakala saloon etc.
 
Mbona mtakufa kwa magonjwa ya moyo kwa kulazimisha kutawala wanawake kwa mabavu? Usimpeleke binti yako shule wala usimfundishe kutafuta hela ili akawe mke bora.

Endeleeni kuoa na wakati hamna akili halafu myanze kulialia wakati mliambiwa kuishi na mwanamke yataka akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…