Kumfungulia biashara mwanamke ni kosa kubwa la kiufundi linalofanywa na wanaume wa kizazi hiki

Kumfungulia biashara mwanamke ni kosa kubwa la kiufundi linalofanywa na wanaume wa kizazi hiki

Unaongelea biashara gani? Usijekuwa unachanganya na ile biashara yao pendwa ambayo hujipatia pesa kwa kulala.
Baishara za kaqaida kwenye ma feemu, duka, stationery uwakala saloon etc.
 
Mbona mtakufa kwa magonjwa ya moyo kwa kulazimisha kutawala wanawake kwa mabavu? Usimpeleke binti yako shule wala usimfundishe kutafuta hela ili akawe mke bora.

Endeleeni kuoa na wakati hamna akili halafu myanze kulialia wakati mliambiwa kuishi na mwanamke yataka akili.
 
Back
Top Bottom