Kumfungulia biashara mwanamke ni kosa kubwa la kiufundi linalofanywa na wanaume wa kizazi hiki

Kwanini wanawake hupenda kulala tena chini kabisa kwenye maeneo yao ya biashara?

Unakuta katandika mtandio /kanga analala chini eneo la biashara
Kama wamechoka watalala wapi wakati hakuna Kitanda?
 
Hakuna raha duniani kama ku invest kwa wife baada ya kumchunguza na kujua Mungu amekubariki na kukupa wife material….

Mfungulie biashara maeneo karibu kidogo na mnapoishi, biashara iwe ya mtaji wa kati na ambayo haitamfanya kuwa busy sana na kufanya kuwa nyumbani kuanzia saa 1 jioni huku akimaliza issue ndogo ndogo hapo home… hata siku umepata changamoto anaweza kuendesha familia kwa siku chache wakati unajipanga…

HAKUNA KOSA TUNAFANYA KAMA KUMFANYA WIFE mama wa Nyumbani, itamfanya kutokuwa na akili ya maisha na kudanganywa kijinga na madereva bodaboda na bajaji….
 
Nani kawaroga enyi wanaume wa ki,zazi hiki? Unaanzaje kufanya ujinga huu wa kumuandaa mwanamke ili akuache baadaye?
Watu msio ma handsome na smart kichwan ushauri huu wenu ,mm mke kukosea ni sherehe yaan kupata chansi ya kuoa tena kademu ka miaka 22 maninaa,yaan nampa talaka afu nampa mtaji mwingine
 
Hiki alichoandika kina ukweli wa asilimia 95 na yanayowatokea watu huku mitaani.

Nina kaka yangu wa mtaa alimpa mkewe Mtaji wa duka karibia na soko,
Kilichotokea ni itv, kwa maana haukupita hata mwezi mama wa watu kabadilika,
Kuuliza kumbe jamaa yamempata matatizo kazini kumbuka hapo hajafukuzwa kazi.

Dada wa watu kaanza kutangaza yeye ndio anamlisha jamaa na akieleza amechoka hivyo anaomba Talaka na haoni faida ya ndoa.

Hivyo hii mada naiunga mkono.
 
Mwanamke akipata uwezo hua anawaza kuishi peke yake tu sasa ukimoa uhuru talaka haipo mbali
 
Aisee!!! hili jambo limenikuta jamaa!!! mwaka juzi nilimfungulia biashara ya samaki umla na rejareja hapa dsm,nikamlipia frem,freezer mbili,mashine ya kukatia nyama na cash,da!! si akakimbilia pasipojulikana na mwanagu wa mdogo w kiume, nabado akwa ananismbua nimtumie ela ya mtoto, nikamblock, niliangukia kua mlevi ila kwa sasa naanza kumsahau!!!,,,,,,'jah bless'
 
Ogopa kama ukoma kumfungulia biashara mtoto. Ni kujitafutia stress tu
 
Aisee yaani bodabkda kwa kweli tunawala sana wake wa majamaa sio uongo.
 
Hapa mtaan kwangu ndani ya mwaka mmoja,
Kuna watumishi wawili wameachwa,
Chanzo n hicho.
Hivi mwanaume unakuwaje boya mpaka unamfungilia mwanamke biashara....hapana aisee uchawi upo.

Hawa warembo kwenye mbususu zao wanafanya madawa
 

🫡
 
Hii inaweza kua kweli aisee maana sasa biashara yangu imekua akinitibua tu huyu baba nawaza kuishi mwinyewe sababu najiweza kilakitu...
Daaahhh, unatoa ushahidi kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ukikua utamuelewa mleta mada, endelea kwanza kucheza.
 
Ogopa kama ukoma kumfungulia biashara mtoto. Ni kujitafutia stress tu
Namkumbuka jamaa mmoja humu jf alisema ' kumfungulia mwanamke biashara ni sawa ni kujitengenezea njia ya kuachana."
 
ukiona hvyo yan huyo mwanamke alikukubali coz alikuwa anashida za kiuchumi au maden huko kwao lakin wengi walioana kwa true love watu wanaish vizur tu
True love ipi ndg yng weeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…