Kumfungulia biashara mwanamke ni kosa kubwa la kiufundi linalofanywa na wanaume wa kizazi hiki

Kumfungulia biashara mwanamke ni kosa kubwa la kiufundi linalofanywa na wanaume wa kizazi hiki

Kwanini wanawake hupenda kulala tena chini kabisa kwenye maeneo yao ya biashara?

Unakuta katandika mtandio /kanga analala chini eneo la biashara
Kama wamechoka watalala wapi wakati hakuna Kitanda?
 
Hakuna raha duniani kama ku invest kwa wife baada ya kumchunguza na kujua Mungu amekubariki na kukupa wife material….

Mfungulie biashara maeneo karibu kidogo na mnapoishi, biashara iwe ya mtaji wa kati na ambayo haitamfanya kuwa busy sana na kufanya kuwa nyumbani kuanzia saa 1 jioni huku akimaliza issue ndogo ndogo hapo home… hata siku umepata changamoto anaweza kuendesha familia kwa siku chache wakati unajipanga…

HAKUNA KOSA TUNAFANYA KAMA KUMFANYA WIFE mama wa Nyumbani, itamfanya kutokuwa na akili ya maisha na kudanganywa kijinga na madereva bodaboda na bajaji….
 
Nani kawaroga enyi wanaume wa ki,zazi hiki? Unaanzaje kufanya ujinga huu wa kumuandaa mwanamke ili akuache baadaye?
Watu msio ma handsome na smart kichwan ushauri huu wenu ,mm mke kukosea ni sherehe yaan kupata chansi ya kuoa tena kademu ka miaka 22 maninaa,yaan nampa talaka afu nampa mtaji mwingine
 
Hiki alichoandika kina ukweli wa asilimia 95 na yanayowatokea watu huku mitaani.

Nina kaka yangu wa mtaa alimpa mkewe Mtaji wa duka karibia na soko,
Kilichotokea ni itv, kwa maana haukupita hata mwezi mama wa watu kabadilika,
Kuuliza kumbe jamaa yamempata matatizo kazini kumbuka hapo hajafukuzwa kazi.

Dada wa watu kaanza kutangaza yeye ndio anamlisha jamaa na akieleza amechoka hivyo anaomba Talaka na haoni faida ya ndoa.

Hivyo hii mada naiunga mkono.
 
Mwanamke akipata uwezo hua anawaza kuishi peke yake tu sasa ukimoa uhuru talaka haipo mbali
 
Nani kawaroga enyi wanaume wa ki,zazi hiki? Unaanzaje kufanya ujinga huu wa kumuandaa mwanamke ili akuache baadaye?

Ndiyo! Kumfungulia mwanamke biashara YAKE ni maandalizi muhimu ya kutaka akuache siku za usoni. Kwasabb unampa uwezo wa kiuchumi ili asimame peke yake.

Mwanamke ili atulie kwenye ndoa anapaswa awe INSECURE ama kiuchumi au kijamii.

Mbaya zaidi wanaume wengi kwa upofu wa mapenzi tu huwaambia kabisa "hii biashara ni yako mke wangu" (kwa sauti ya kubana pua). Yaani biashara ni ya mke siyo ya familia.

USHAURI: Mwanaume fungua biashara ya familia halafu muweke mkeo aisimamie kama wewe uko bize, lkn uifuatilie kana kwamba umeajili mwizi kwenye biashara yako. Vinginevyo ataiba na biashara itakufa ama utadhulumiwa asubuhi na mapema na kisha utaachwa.

Mm Sexless nimefanya Sana kazi za ukungwi nimeyaona matatizo mengi yanayosabanisha migogoro ya ndoa. Hivi sasa migogoro ambayo chanzo chake ni wanaume kuwafungulia biashara wake zao imeshika kasi sana.
Aisee!!! hili jambo limenikuta jamaa!!! mwaka juzi nilimfungulia biashara ya samaki umla na rejareja hapa dsm,nikamlipia frem,freezer mbili,mashine ya kukatia nyama na cash,da!! si akakimbilia pasipojulikana na mwanagu wa mdogo w kiume, nabado akwa ananismbua nimtumie ela ya mtoto, nikamblock, niliangukia kua mlevi ila kwa sasa naanza kumsahau!!!,,,,,,'jah bless'
 
aisee!!! hili jambo limenikuta jamaa!!! mwaka juzi nilimfungulia biashara ya samaki umla na rejareja hapa dsm,nikamlipia frem,freezer mbili,mashine ya kukatia nyama na cash,da!! si akakimbilia pasipojulikana na mwanagu wa mdogo w kiume,nabado akwa ananismbua nimtumie ela ya mtoto,nikamblock,,,,niliangukia kua mlevi ila kwa sasa naanza kumsahau!!!,,,,,,'jah bless'
Ogopa kama ukoma kumfungulia biashara mtoto. Ni kujitafutia stress tu
 
Hakuna raha duniani kama ku invest kwa wife baada ya kumchunguza na kujua Mungu amekubariki na kukupa wife material…. Mfungulie biashara maeneo karibu kidogo na mnapoishi, biashara iwe ya mtaji wa kati na ambayo haitamfanya kuwa busy sana na kufanya kuwa nyumbani kuanzia saa 1 jioni huku akimaliza issue ndogo ndogo hapo home… hata siku umepata changamoto anaweza kuendesha familia kwa siku chache wakati unajipanga… HAKUNA KOSA TUNAFANYA KAMA KUMFANYA WIFE mama wa Nyumbani, itamfanya kutokuwa na akili ya maisha na kudanganywa kijinga na madereva bodaboda na bajaji….
Aisee yaani bodabkda kwa kweli tunawala sana wake wa majamaa sio uongo.
 
Hapa mtaan kwangu ndani ya mwaka mmoja,
Kuna watumishi wawili wameachwa,
Chanzo n hicho.
Hivi mwanaume unakuwaje boya mpaka unamfungilia mwanamke biashara....hapana aisee uchawi upo.

Hawa warembo kwenye mbususu zao wanafanya madawa
 
Nani kawaroga enyi wanaume wa ki,zazi hiki? Unaanzaje kufanya ujinga huu wa kumuandaa mwanamke ili akuache baadaye?

Ndiyo! Kumfungulia mwanamke biashara YAKE ni maandalizi muhimu ya kutaka akuache siku za usoni. Kwasabb unampa uwezo wa kiuchumi ili asimame peke yake.

Mwanamke ili atulie kwenye ndoa anapaswa awe INSECURE ama kiuchumi au kijamii.

Mbaya zaidi wanaume wengi kwa upofu wa mapenzi tu huwaambia kabisa "hii biashara ni yako mke wangu" (kwa sauti ya kubana pua). Yaani biashara ni ya mke siyo ya familia.

USHAURI: Mwanaume fungua biashara ya familia halafu muweke mkeo aisimamie kama wewe uko bize, lkn uifuatilie kana kwamba umeajili mwizi kwenye biashara yako. Vinginevyo ataiba na biashara itakufa ama utadhulumiwa asubuhi na mapema na kisha utaachwa.

Mm Sexless nimefanya Sana kazi za ukungwi nimeyaona matatizo mengi yanayosabanisha migogoro ya ndoa. Hivi sasa migogoro ambayo chanzo chake ni wanaume kuwafungulia biashara wake zao imeshika kasi sana.

🫡
 
Hii inaweza kua kweli aisee maana sasa biashara yangu imekua akinitibua tu huyu baba nawaza kuishi mwinyewe sababu najiweza kilakitu...
Daaahhh, unatoa ushahidi kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nina mashaka na hili..

Kama nikimfungulia wife biashara flani, lkn networth yangu ni at least 10 fold ya huo mradi wake, anaanzaje kuleta nyodo?!!!

Labda kama ww ni muajiriwa tuu, unamfungulia mradi wake binafsi (siyo wa familia!), afu baada ya muda unapigwa chini na huna namna ingine ya uzalishaji, hapo unaweza someshwa namba!

Kwa maoni yangu, kuna faidi nyingi za kumfungulia mke biashara kuliko hasara.

Kama biashara inam-keep busy muda wote hawezi kuwa na nafasi wala hamu ya kuchepuka!
Ukikua utamuelewa mleta mada, endelea kwanza kucheza.
 
Back
Top Bottom