Hahahaha mkuu huo ni uzito gani ambao atuushudii tunaposhiki maziko sehemu nyingine?
Au mfuniko unawekwa kutokana na uzito wa marehemu?
Acha kutudanganya watu na akili zetu hapo makaburini kinondoni ukipita leo utakuta watu wanazika pale lakini huwezi kuona katapilla ni watu wanafunika kwa mikono yao.
Mawazo ya kiza, mawazo ya kipumbavu, mawazo yaliyogandamana fikra finyu yanayoakisi aina ya mtu aliyeyatoa. Hilo "katapila" lililotumika ni nyenzo tu, kuna ulazima gani kuhangaika kijima kunyanyua tani nyingi za funiko la zege wakati kuna mashine inaweza kufanya kazi hiyo effortlessly? Ukiona watu wanaanza kuzusha na kuanzisha conspiracy kwenye vitu vidogo kama hivi ujue jamii imejaa masizi ya imani za giza!

Labda waliconsider na uzito wake....
unakadiria huo mfuniko uliko na uzito wa tani ngapi kwamba vijana wangeshindwa kubeba nakufunika kaburi la baba yao,mbunge wao,kaka yao,kipenzi chao mpendwa mh komba msijifanye muko kisasa sana mkaacha tamaduni za asili zenu.nje ya msiba wa mh komba wapi kwingine umewahi ona tukio kama hilo?come come back to your roots ndio maana wazungu wamefikia mahali wanawaambia muoane watu wa jinsia moja kwamba wewe mwanaume mwenzio akikupenda alete posa kwenu sababu nyie mmekua watu wakukubaliana na kila kitu hata kama kikotofauti na maadili ya utu na uafrika wako.take care mazuri tuyakubali lakini mabaya tuyakatae.kwa hili la mzee wetu komba mimi na sema hapana.