Kumfunika Kapt. John Komba na Katapilla ilikuwa dharau

View attachment 232420

Nimekaa na kutafakari kwa kina nimegundua ni dharau mbaya sana. Wote ni mashaidi na tumekuwa tukihudhuria maziko sehemu nyingi nchini. Lakini sijawahi kushuudia mfuniko wa kaburi unafunikwa na katapilla hiyo ni stail niliiona kwenye maziko ya Komba.

Narudia ile ni dharau pale kulikuwa na watu wengi tu waliokuwa na uwezo wa kunyanyua mfuniko ule na kufunika kaburi lile kwa heshima.

Akutukanae Huwa Hakuchagulii Tusi Na Hata Uchafu Kule Damponi Pugu Huwekwa Sawa Na Hufunikwa Na KIJIKO Ili Kisilete MATATIZO.
 
View attachment 232420

Nimekaa na kutafakari kwa kina nimegundua ni dharau mbaya sana. Wote ni mashaidi na tumekuwa tukihudhuria maziko sehemu nyingi nchini. Lakini sijawahi kushuudia mfuniko wa kaburi unafunikwa na katapilla hiyo ni stail niliiona kwenye maziko ya Komba.

Narudia ile ni dharau pale kulikuwa na watu wengi tu waliokuwa na uwezo wa kunyanyua mfuniko ule na kufunika kaburi lile kwa heshima.

Ndio maana najivunia kuwa muislam, maana kwetu hata uwe Rais formality ni zile zile, '' leta tofari, nyasi, mbao then udongo khalas, waungwana wanataambaa wanakuachia nzugwe na malaika l mauti au malaika wa kheir ,,, sasa zigo la zege ndio asitoke tena au ?
 
Methodius kilaini anweza kufafanua, manake inaonekana wametafsiri alivyozikwa lazarus.

Hii hata Nzigirwa anayo tafsiri na ufafanuzi, mkatoliki mwenye mitala na kanisa halikuwa na kinyongo kutoa huduma ya maziko (jambo la kiroho zaidi)

wenzetu wakristu hamuishiwagi na ubunifu wa mambo mapya kila kukicha. hongereni
 
Ndio maana najivunia kuwa muislam, maana kwetu hata uwe Rais formality ni zile zile, '' leta tofari, nyasi, mbao then udongo khalas, waungwana wanataambaa wanakuachia nzugwe na malaika l mauti au malaika wa kheir ,,, sasa zigo la zege ndio asitoke tena au ?
sasa fahari gani kukamuliwa kinyesi uingie pepon ukiwa msaf. ..ya akh pathetic and disgusting
 
View attachment 232420

Nimekaa na kutafakari kwa kina nimegundua ni dharau mbaya sana. Wote ni mashaidi na tumekuwa tukihudhuria maziko sehemu nyingi nchini. Lakini sijawahi kushuudia mfuniko wa kaburi unafunikwa na katapilla hiyo ni stail niliiona kwenye maziko ya Komba.

Narudia ile ni dharau pale kulikuwa na watu wengi tu waliokuwa na uwezo wa kunyanyua mfuniko ule na kufunika kaburi lile kwa heshima.

Zege hilo!
Pia Kaweka historia kwa kuwa kiongozi wa kwanza katapilla kutumika ktk kufunika kaburi lake.
 
Ile ni nyenzo tu. Kama hatutaki nyenzo basi hata chepe tusitumie kutupa mchanga bali tufukie kaburi kwa mikono!
 
Jaman kwal ule mfuniko wa kabuli la nyerere ulikuwa mzito au mwepesi, mbona hatukuona ule mkatapila jamani, alafu huyu si alikuwa capten kwanini wasingefika wajeda kusaidia!

komba alikuwa mwanajesh muimba kwaya,vyeo kapewapewa tu mpk ukaptein hajahenya
 
Hivi sasa tupo ktk mfumo wa dijitali taabu ya nini....!!
 
sasa fahari gani kukamuliwa kinyesi uingie pepon ukiwa msaf. ..ya akh pathetic and disgusting

Afu kile kinyesi nasikia hua wanakichukua kidogo wanaenda kumix na msoc pale msibani then wanandugu hua hawali sinia zilizowekewa hio mambo, wanasema wanafanya hivo ili kuondoa mkosi wa Marehemu, Takbiir
 
Bora yeye kafukiwa na katapila kulikoni sisi ambao hatujui kuwa tutafukiwa na nini, Rest In Peace Komba
 
Kwa hili watani zetu waislamu wametupiga bao! mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni jamanie!! maneno matakatifu yanatwambia "Umetoka mavumbini; utarudi mavumbini"!!; sasa sisi wakristu na hizi mbwembwe za sare za Bilioni; masuti ya Bilioni; eti jeshi la Obama; secret service na miwani ya giza; majeneza ya Bilioni; makaburi ya Bilioni; mapambo ya Bilioni; magari sare ya Bilioni, zege; cranes; mashini za kushusha jeneza, tingatinga nk .. za nini jamani! wakati huo mwili ni lazima utaoza tuu ili hatimaye urudi ulikotoka mavumbini!!

Usimsikitikie John Komba RIP; wala kuwalaumu walioleta tingatinga hapo; la hasha, ni mwendelezo wa mbwembwe za wakiristu ambao tumeukubali uwe utamaduni wetu! Show off za bure tu wakati hatujui kama huyo "mwenda zake" atapokelewa salama; awe na furaha sawia na mbwembwe zenu huko aendako au lah!! TUBADILIKE.
 
acha ujinga huo kukamuliwa kinyesi ni kumuweka maiti ktk hali ya usafi!!
 
Kamati ya mazishi kushrikiana na familia walikubaliana na waliridhika na hali hio!!
 
View attachment 232420

Nimekaa na kutafakari kwa kina nimegundua ni dharau mbaya sana. Wote ni mashaidi na tumekuwa tukihudhuria maziko sehemu nyingi nchini. Lakini sijawahi kushuudia mfuniko wa kaburi unafunikwa na katapilla hiyo ni stail niliiona kwenye maziko ya Komba.

Narudia ile ni dharau pale kulikuwa na watu wengi tu waliokuwa na uwezo wa kunyanyua mfuniko ule na kufunika kaburi lile kwa heshima.

Mkuu Kibo10 Komba alistahili kuzikwa vile kwakuwa alikuwa na laana ya Jaji Warioba na waTanznaia wapenda mabadiliko.Ni wazi mtu ukiwa na laana kwenda mbinguni ni mwiko ndio maana wakatumia kijiko na mfuniko wa zege la ukweli ili kumzuia Komba asiende mbinguni.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom