Messenger RNA
JF-Expert Member
- Jul 24, 2022
- 1,411
- 3,712
Nilipomwona mchengerwa tuu....Hongereni na mwaka mpya.
Nimeona nilete mtazamo wangi kuhusu Mawaziri waliofanya vizuri sana kwa mwaka 2024.
1. Hussein Bashe - Kilimo
2. Dorothy Gwajima - Maendeleo ya jamii.
3. Jerry Slaa (Wa ardhi, nyumba na makazi sio kwenye Wizara ya sasa)
4. Jumaa Aweso-Maji
5. Ummy Mwalimu-Akiwa Afya
6. Innocent Bashungwa-Ujenzi
7. Stergomena Taxi - Ulinzi
8. Mohamed Mchengerwa-Tamisemi
9. Prof.Adolf Mkenda-Elimu
10. Mwigulu Nchemba-Fedha
NB:
Mawaziri wengine wamefanya vizuri lakini si kwa kiwango cha watajwa hapo juu.
Ninaomba kuwasilisha.
Labda kwenye kuvuruga uchaguzi wa serikali za mitaa8. Mohamed Mchengerwa-Tamisemi
Kwamba nafasi hiyo haimfai?Nilipomwona mchengerwa tuu....
Mzee wa kifua kipana😂Namba 1 ni Mohamed Mchengerwa
Uchaguzi ulikuwa Mzuri sana
Lakini alitoa haki kwa wagombea kukata rufaa, hapo vipi?Labda kwenye kuvuruga uchaguzi wa serikali za mitaa
Upuuzi mtupu.... wa kujustify upumbavu nothing else!Lakini alitoa haki kwa wagombea kukata rufaa, hapo vipi?
Mkuu, tozo hazipangwi kwa utashi pekee wa Mwigulu bali hushirikisha watu wengi kufikia hitimisho, hata hivyo tozo nyingi zimeondolewa.1.Huyu aliyeongeza matozo naye unamuweka kwenye orodha.
2.Na aliyeharibu uchaguzi wa local gvt umemuweka au kwa sababu ni mkwe
Safi sanaMama Gwajima
Aweso
Hao ndio niliwakubali
nya ni nini? Mawaziri wote wa Tanzania ni bogus tuHongereni na mwaka mpya.
Nimeona nilete mtazamo wangi kuhusu Mawaziri waliofanya vizuri sana kwa mwaka 2024.
1. Hussein Bashe - Kilimo
2. Dorothy Gwajima - Maendeleo ya jamii.
3. Jerry Slaa (Wa ardhi, nyumba na makazi sio kwenye Wizara ya sasa)
4. Jumaa Aweso-Maji
5. Ummy Mwalimu-Akiwa Afya
6. Innocent Bashungwa-Ujenzi
7. Stergomena Taxi - Ulinzi
8. Mohamed Mchengerwa-Tamisemi
9. Prof.Adolf Mkenda-Elimu
10. Mwigulu Nchemba-Fedha
NB:
Mawaziri wengine wamefanya vizuri lakini si kwa kiwango cha watajwa hapo juu.
Ninaomba kuwasilisha.