Kumi(10) bora ya Mawaziri waliofanya vizuri sana 2024 hii hapa

Kumi(10) bora ya Mawaziri waliofanya vizuri sana 2024 hii hapa

Hakuna kitu hapo ni usanii mtupu kusifia mama..mawaziri wote hawajuhi wanachofanya labda tuwapongeze kwa kumsifu mama hivi vyeo havina maana kila kitu ni raisii..
Mkuu kweli hujaona hata juhudi za Mhe. Dorothy Gwajima hata hapa jukwaani?
 
Hongereni na mwaka mpya.
Nimeona nilete mtazamo wangi kuhusu Mawaziri waliofanya vizuri sana kwa mwaka 2024.
1. Hussein Bashe - Kilimo
2. Dorothy Gwajima - Maendeleo ya jamii.
3. Jerry Slaa (Wa ardhi, nyumba na makazi sio kwenye Wizara ya sasa)
4. Jumaa Aweso-Maji
5. Ummy Mwalimu-Akiwa Afya
6. Innocent Bashungwa-Ujenzi
7. Stergomena Taxi - Ulinzi
8. Mohamed Mchengerwa-Tamisemi
9. Prof.Adolf Mkenda-Elimu
10. Mwigulu Nchemba-Fedha
NB:
Mawaziri wengine wamefanya vizuri lakini si kwa kiwango cha watajwa hapo juu.
Ninaomba kuwasilisha.
Kwa vigezo Vipi?
 
Jerry Slaa alijaribu sana kwenye nyumba na makazi angeachwa hapohapo.Mwingulu anatakiwa awe ameshajiuzuru kwa kushauri Watanzania tunahoji kuhusu tozo tuhamie Burundi.
Jerry Slaa alikuwa moto sio mchezo, lakini ndio hivyo tena.
 
Back
Top Bottom