Messenger RNA
JF-Expert Member
- Jul 24, 2022
- 1,411
- 3,712
- Thread starter
- #21
Mkuu, mfumuko wa bei kwa 2024 ni dunia nzima, tena afadhali ya Tanzania. Usiondoke Jf unaletewa takwimu.Mgumuko wa bei ulivyo juu. Hakuna aliyefanya vizuri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, mfumuko wa bei kwa 2024 ni dunia nzima, tena afadhali ya Tanzania. Usiondoke Jf unaletewa takwimu.Mgumuko wa bei ulivyo juu. Hakuna aliyefanya vizuri.
Asante kwa maoni yako mkuu1.doto biteko
2.jenesta mhagama
3.majaliwa
4.masauni
5. Mavunde
6.ndumbaro
7. Gwajima
8. Bashungwa
9. Kikwete
10.bashe
Hiyo ndio kumi bora
.......kifua kipana....kwa mamiii aker mwaliiiNilipomwona mchengerwa tuu....
Mkuu kweli hujaona hata juhudi za Mhe. Dorothy Gwajima hata hapa jukwaani?Hakuna kitu hapo ni usanii mtupu kusifia mama..mawaziri wote hawajuhi wanachofanya labda tuwapongeze kwa kumsifu mama hivi vyeo havina maana kila kitu ni raisii..
Hongera kwa kutambua mchango wake Mkuu.Dorothy Gwajima Dr
Kwa vigezo Vipi?Hongereni na mwaka mpya.
Nimeona nilete mtazamo wangi kuhusu Mawaziri waliofanya vizuri sana kwa mwaka 2024.
1. Hussein Bashe - Kilimo
2. Dorothy Gwajima - Maendeleo ya jamii.
3. Jerry Slaa (Wa ardhi, nyumba na makazi sio kwenye Wizara ya sasa)
4. Jumaa Aweso-Maji
5. Ummy Mwalimu-Akiwa Afya
6. Innocent Bashungwa-Ujenzi
7. Stergomena Taxi - Ulinzi
8. Mohamed Mchengerwa-Tamisemi
9. Prof.Adolf Mkenda-Elimu
10. Mwigulu Nchemba-Fedha
NB:
Mawaziri wengine wamefanya vizuri lakini si kwa kiwango cha watajwa hapo juu.
Ninaomba kuwasilisha.
Jerry Slaa alikuwa moto sio mchezo, lakini ndio hivyo tena.Jerry Slaa alijaribu sana kwenye nyumba na makazi angeachwa hapohapo.Mwingulu anatakiwa awe ameshajiuzuru kwa kushauri Watanzania tunahoji kuhusu tozo tuhamie Burundi.
Vya kiutendani.Kwa vigezo Vipi?
Amefanya kazi kubwa akiwa Wizara ya Afya.Ummy kafanya nini?
Wadau naona wamemkasilikia mno.Namba 1 ni Mohamed Mchengerwa
Uchaguzi ulikuwa Mzuri sana
Kama ipi ambayo wengine hawakufanya?Amefanya kazi kubwa akiwa Wizara ya Afya.
Ummy kafanya nini?
Namba 1 ni Mohamed Mchengerwa
Uchaguzi ulikuwa Mzuri sana
Lakini alitoa haki kwa wagombea kukata rufaa, hapo vipi?
Wafuatilie kwa karibu utagundua wa kawaida kupita kiasi.Mama Gwajima
Aweso
Hao ndio niliwakubali
Mkuu kweli hujaona hata juhudi za Mhe. Dorothy Gwajima hata hapa jukwaani?