Kumi(10) bora ya Mawaziri waliofanya vizuri sana 2024 hii hapa

Kumi(10) bora ya Mawaziri waliofanya vizuri sana 2024 hii hapa

kuweni wa kweli huyo amefanya kazi gani outstanding ?
Au ndio wanawatuma kufanya uchawa.
Katika Mawaziri waliotatua kero nyingi za wananchi basi huyu ilipaswa nisisumbuke kuelezea sana, maana kero nyingine hata Jf zimeandikwa sana.
 
Unaona sasa unavyomtetea. Haya niambie tozo zilizoondolewa na mimi nifurahi
1000027499.jpg

Mkuu nyingi zilishaondolewa.
 
Kama ipi ambayo wengine hawakufanya?
Chini yake kwa kipindi cha Mhe.Magufuli na Mhe. Samia amefanya usimamizi wa ujenzi wa hospitali, vituo vya afya na zahanati nyingi ambazo hazijawahi kujengwa tangu Uhuru; ameboresha huduma za kijamii ikiwemo wazee n.k.
 
Gwajima tu. Aweso ameshindwa kutatua maji mikoa mingo.
Chini ya Aweso, zaidi ya vijiji 10,000 sawa na asilimia 79.8 kati ya vijiji 12,333 vimepata maji safi na salama huku huduma ya maji ikiongezeka kutoka asilimia 50 mwaka 2019 hadi kufikia asilimia 79.9 mwaka 2024 kwa vijijini
 
Hongereni na mwaka mpya.

Nimeona nilete mtazamo wangi kuhusu Mawaziri waliofanya vizuri sana kwa mwaka 2024.

1. Hussein Bashe - Kilimo
2. Dorothy Gwajima - Maendeleo ya jamii.
3. Jerry Slaa (Wa ardhi, nyumba na makazi sio kwenye Wizara ya sasa)
4. Jumaa Aweso-Maji
5. Ummy Mwalimu-Akiwa Afya
6. Innocent Bashungwa-Ujenzi
7. Stergomena Taxi - Ulinzi
8. Mohamed Mchengerwa-Tamisemi
9. Prof.Adolf Mkenda-Elimu
10. Mwigulu Nchemba-Fedha

NB:

Mawaziri wengine wamefanya vizuri lakini si kwa kiwango cha watajwa hapo juu.

Ninaomba kuwasilisha.
Kufanya vizuri kwa matamko pengine, umesahau upigaji wa Bashe kwenye sugar gape.
 
Hongereni na mwaka mpya.

Nimeona nilete mtazamo wangi kuhusu Mawaziri waliofanya vizuri sana kwa mwaka 2024.

1. Hussein Bashe - Kilimo
2. Dorothy Gwajima - Maendeleo ya jamii.
3. Jerry Slaa (Wa ardhi, nyumba na makazi sio kwenye Wizara ya sasa)
4. Jumaa Aweso-Maji
5. Ummy Mwalimu-Akiwa Afya
6. Innocent Bashungwa-Ujenzi
7. Stergomena Taxi - Ulinzi
8. Mohamed Mchengerwa-Tamisemi
9. Prof.Adolf Mkenda-Elimu
10. Mwigulu Nchemba-Fedha

NB:

Mawaziri wengine wamefanya vizuri lakini si kwa kiwango cha watajwa hapo juu.

Ninaomba kuwasilisha.
10,8,7,4 ondoa, kabisa, hakuna kitu hapo
 
Sio kwa ubaya ila kwa fact, Bashe hapana kwa kweli

Ile issue ya sukari ilimuondolea credibility yote niliyokuwa nayo kwake

Kweli kampuni ya statuonery na ICT kuagiza sukari kweli??

Itel?? Dah sasa kama hiyo imeagiza sukari na haijawahi fanya biashara hiyo una uhakika gani kwenye upigaji??
 
Chini yake kwa kipindi cha Mhe.Magufuli na Mhe. Samia amefanya usimamizi wa ujenzi wa hospitali, vituo vya afya na zahanati nyingi ambazo hazijawahi kujengwa tangu Uhuru; ameboresha huduma za kijamii ikiwemo wazee n.k.
Okeee
 
Hongereni na mwaka mpya.

Nimeona nilete mtazamo wangi kuhusu Mawaziri waliofanya vizuri sana kwa mwaka 2024.

1. Hussein Bashe - Kilimo
2. Dorothy Gwajima - Maendeleo ya jamii.
3. Jerry Silaa (Wa ardhi, nyumba na makazi sio kwenye Wizara ya sasa)
4. Jumaa Aweso-Maji
5. Ummy Mwalimu-Akiwa Afya
6. Innocent Bashungwa-Ujenzi
7. Stergomena Taxi - Ulinzi
8. Mohamed Mchengerwa-Tamisemi
9. Prof. Adolf Mkenda-Elimu
10. Mwigulu Nchemba-Fedha

NB:

Mawaziri wengine wamefanya vizuri lakini si kwa kiwango cha watajwa hapo juu.

Ninaomba kuwasilisha.
Umetuma method gani kuwa rank ?
 
Back
Top Bottom