Msitari wa pambizo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 3,098
- 5,451
Unaona sasa unavyomtetea. Haya niambie tozo zilizoondolewa na mimi nifurahiMkuu, tozo hazipangwi kwa utashi pekee wa Mwigulu bali hushirikisha watu wengi kufikia hitimisho, hata hivyo tozo nyingi zimeondolewa.
Gwajima tu. Aweso ameshindwa kutatua maji mikoa mingo.Mama Gwajima
Aweso
Hao ndio niliwakubali
Katika Mawaziri waliotatua kero nyingi za wananchi basi huyu ilipaswa nisisumbuke kuelezea sana, maana kero nyingine hata Jf zimeandikwa sana.kuweni wa kweli huyo amefanya kazi gani outstanding ?
Au ndio wanawatuma kufanya uchawa.
Zipi zilizoondolewa?Mkuu, tozo hazipangwi kwa utashi pekee wa Mwigulu bali hushirikisha watu wengi kufikia hitimisho, hata hivyo tozo nyingi zimeondolewa.
Unaona sasa unavyomtetea. Haya niambie tozo zilizoondolewa na mimi nifurahi
Chini yake kwa kipindi cha Mhe.Magufuli na Mhe. Samia amefanya usimamizi wa ujenzi wa hospitali, vituo vya afya na zahanati nyingi ambazo hazijawahi kujengwa tangu Uhuru; ameboresha huduma za kijamii ikiwemo wazee n.k.Kama ipi ambayo wengine hawakufanya?
Chini ya Aweso, zaidi ya vijiji 10,000 sawa na asilimia 79.8 kati ya vijiji 12,333 vimepata maji safi na salama huku huduma ya maji ikiongezeka kutoka asilimia 50 mwaka 2019 hadi kufikia asilimia 79.9 mwaka 2024 kwa vijijiniGwajima tu. Aweso ameshindwa kutatua maji mikoa mingo.
Kufanya vizuri kwa matamko pengine, umesahau upigaji wa Bashe kwenye sugar gape.Hongereni na mwaka mpya.
Nimeona nilete mtazamo wangi kuhusu Mawaziri waliofanya vizuri sana kwa mwaka 2024.
1. Hussein Bashe - Kilimo
2. Dorothy Gwajima - Maendeleo ya jamii.
3. Jerry Slaa (Wa ardhi, nyumba na makazi sio kwenye Wizara ya sasa)
4. Jumaa Aweso-Maji
5. Ummy Mwalimu-Akiwa Afya
6. Innocent Bashungwa-Ujenzi
7. Stergomena Taxi - Ulinzi
8. Mohamed Mchengerwa-Tamisemi
9. Prof.Adolf Mkenda-Elimu
10. Mwigulu Nchemba-Fedha
NB:
Mawaziri wengine wamefanya vizuri lakini si kwa kiwango cha watajwa hapo juu.
Ninaomba kuwasilisha.
HahahahNamba 1 ni Mohamed Mchengerwa
Uchaguzi ulikuwa Mzuri sana
10,8,7,4 ondoa, kabisa, hakuna kitu hapoHongereni na mwaka mpya.
Nimeona nilete mtazamo wangi kuhusu Mawaziri waliofanya vizuri sana kwa mwaka 2024.
1. Hussein Bashe - Kilimo
2. Dorothy Gwajima - Maendeleo ya jamii.
3. Jerry Slaa (Wa ardhi, nyumba na makazi sio kwenye Wizara ya sasa)
4. Jumaa Aweso-Maji
5. Ummy Mwalimu-Akiwa Afya
6. Innocent Bashungwa-Ujenzi
7. Stergomena Taxi - Ulinzi
8. Mohamed Mchengerwa-Tamisemi
9. Prof.Adolf Mkenda-Elimu
10. Mwigulu Nchemba-Fedha
NB:
Mawaziri wengine wamefanya vizuri lakini si kwa kiwango cha watajwa hapo juu.
Ninaomba kuwasilisha.
Covid19Ummy kafanya nini?
Mahakama imemkuta bila hatia.Kufanya vizuri kwa matamko pengine, umesahau upigaji wa Bashe kwenye sugar gape.
Alifanyaje?Covid19
OkeeeChini yake kwa kipindi cha Mhe.Magufuli na Mhe. Samia amefanya usimamizi wa ujenzi wa hospitali, vituo vya afya na zahanati nyingi ambazo hazijawahi kujengwa tangu Uhuru; ameboresha huduma za kijamii ikiwemo wazee n.k.
ChanjoAlifanyaje?
Wanasema kipindi cha covid alifanya maajabu etiπππ
Eti ni miongoni kwa mahodari walofanya kazi kupita kiasi ?! π€π€
Umetuma method gani kuwa rank ?Hongereni na mwaka mpya.
Nimeona nilete mtazamo wangi kuhusu Mawaziri waliofanya vizuri sana kwa mwaka 2024.
1. Hussein Bashe - Kilimo
2. Dorothy Gwajima - Maendeleo ya jamii.
3. Jerry Silaa (Wa ardhi, nyumba na makazi sio kwenye Wizara ya sasa)
4. Jumaa Aweso-Maji
5. Ummy Mwalimu-Akiwa Afya
6. Innocent Bashungwa-Ujenzi
7. Stergomena Taxi - Ulinzi
8. Mohamed Mchengerwa-Tamisemi
9. Prof. Adolf Mkenda-Elimu
10. Mwigulu Nchemba-Fedha
NB:
Mawaziri wengine wamefanya vizuri lakini si kwa kiwango cha watajwa hapo juu.
Ninaomba kuwasilisha.
Nimetumia utendaji kazi wao, matokeo ya kazi zao pamoja na maoni ya wananchi.Umetuma method gani kuwa rank ?
SanaUjing mtupu