Kumi(10) bora ya Mawaziri waliofanya vizuri sana 2024 hii hapa

Aweso una nyota kali. Maji tunahangaika mjini Dar bado unasifiwa. Sawa bwana.
 
Mama Gwajima anastahili kabisa kuwa miongoni mwa Mawaziri waliofanya vizuri
 
Sikutegemea kabisa kukutana na kitu kama hiki!!!
 
Nilikuwa natafta jina la Bashe, maadamu halipo list yako naipitisha kWa asilimia zote.

Samia inabidi ashtuke kuhusu haka kafisadi katoto
 
Takatakaaa
 
Dr. Dorothy Gwajima naomba awekwe bamba moja hapo juu kabisa! Sister anaupiga mwingi sana! Anayefuatia anatakiwa awe Bashungwa!
 
Wanasema kipindi cha covid alifanya maajabu eti


Mmnh hata angekuwepo mtu mwingine angefanya kama alivyofanya na naamini hata kumzidi yeye alichofanya.
Kwanza hakukuwa na uwazi na ukweli.
Serikali kujitoa kuzika hatari ikawa zaidi kwa wananchi na kudhurika, n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…