Yaani wewe kwako wachezaji ni wale washambuliaji tu? Hakuna mabeki? Najua Mwameja utakua umemuweka kwa bahati mbayaHii ni kumi bora yangu kwa wachezaji niliowahi kuwaona LIVE wakicheza kwa hapa Tanzania.
1. Edibily Lunyamila
2. Mohamed Hussein Mmachinga
3. Amir Maftah
4. Mrisho Ngasa
5. Mbwana Samatta
6. Haruna Moshi
7. Mohamed Mwameja
8. Boniface Pawasa
9. Victor Costa
10. Athuman Iddi Chuji
Tuanzie 1960 to 2020.....tupate 10 boraWangu kumi na watatu wa nyongeza
"Golden Boy" - Zamoyoni Mogella
"Tanzania One"- Mohamed Mwameja
"Mmachinga " - Mohamed Hussein
"Homa ya Jiji" - Makumbi Juma
"Kiminyio" - Madaraka Selemani
"Fundi" - Method Mogella
"Jembe Ulaya" - Bakari Malima
"Computer" - Sunday Manara
"Golota" - Joseph Kaniki
"SMG" - Said Maulid
"Ball Dancer" - Mao Mkami
"Nyumba" - Victor Costa
"Rungu"- Nteze John
Makumbi Juma, Peter Tino na Zico wa Kilosa mbona siwaoni hapo?Wangu kumi na watatu wa nyongeza
"Golden Boy" - Zamoyoni Mogella
"Tanzania One"- Mohamed Mwameja
"Mmachinga " - Mohamed Hussein
"Homa ya Jiji" - Makumbi Juma
"Kiminyio" - Madaraka Selemani
"Fundi" - Method Mogella
"Jembe Ulaya" - Bakari Malima
"Computer" - Sunday Manara
"Golota" - Joseph Kaniki
"SMG" - Said Maulid
"Ball Dancer" - Mao Mkami
"Nyumba" - Victor Costa
"Rungu"- Nteze John
Katengeneze list yako uwaweke hao mabeki.Yaani wewe kwako wachezaji ni wale washambuliaji tu? Hakuna mabeki? Najua Mwameja utakua umemuweka kwa bahati mbaya
Sitengenezi, utawaweka humohumo utake usitakeKatengeneze list yako uwaweke hao mabeki.
😄😄😄acha ufalaSitengenezi, utawaweka humohumo utake usitake
wapo wengiHii ni kumi bora yangu kwa wachezaji niliowahi kuwaona LIVE wakicheza kwa hapa Tanzania.
1. Edibily Lunyamila
2. Mohamed Hussein Mmachinga
3. Amir Maftah
4. Mrisho Ngasa
5. Mbwana Samatta
6. Haruna Moshi
7. Mohamed Mwameja
8. Boniface Pawasa
9. Victor Costa
10. Athuman Iddi Chuji
Nimetoa list ya niliowahi kuona wakicheza. Kina Zamoyoni Mogela hawakuwa wa wakati wangu.wapo wengi
Malota Soma
Hussein Masha
Nteze John
Bea Simba
Edibily Lunyamila
Mohamed Huseein aka Machinga
Beki bora George Masatu
Fumo Felician
Said Mwamba Kizota
Zamoyoni Mogela
Method Mogela
Hamisi Thobias Gagarino
Kenth Mkapa
Ramadhan Lenny
Issa Athuman
Justine Ntekere
Sanifu Lazaro
Abubakar Salum
Abeid Mziba
Athuman Juma Chama
Mmachinga mtoe sifa alipata baada ya kuifunga Simba tu hakuwa na jipya.Hii ni kumi bora yangu kwa wachezaji niliowahi kuwaona LIVE wakicheza kwa hapa Tanzania.
1. Edibily Lunyamila
2. Mohamed Hussein Mmachinga
3. Amir Maftah
4. Mrisho Ngasa
5. Mbwana Samatta
6. Haruna Moshi
7. Mohamed Mwameja
8. Boniface Pawasa
9. Victor Costa
10. Athuman Iddi Chuji
Msongo wa mawazo upo kweli aiseee...JONAS MKUDE.
JONAS MKUDE
JONAS MKUDE
JONAS MKUDE
JONAS MKUDE
JONAS MKUDE
JONAS MKUDE
JONAS MKUDE
JONAS MKUDE
JONAS MKUDE.
Method MogellaSaid Mwamba
Method Mwogela
Steven Mussa
Abubakar Sureboy
Nassor Mwamba Kizota
Zamoyoni Mwogera "Fundi"
Issa Athuman
David Mwakerebera
Edimile Runyamila
Said Mwamba ni tofauti na Nassoro Mwamba Kizota? Jamani!!!Said Mwamba
Method Mwogela
Steven Mussa
Abubakar Sureboy
Nassor Mwamba Kizota
Zamoyoni Mwogera "Fundi"
Issa Athuman
David Mwakerebera
Edimile Runyamila