PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
Yaani wewe kwako wachezaji ni wale washambuliaji tu? Hakuna mabeki? Najua Mwameja utakua umemuweka kwa bahati mbayaHii ni kumi bora yangu kwa wachezaji niliowahi kuwaona LIVE wakicheza kwa hapa Tanzania.
1. Edibily Lunyamila
2. Mohamed Hussein Mmachinga
3. Amir Maftah
4. Mrisho Ngasa
5. Mbwana Samatta
6. Haruna Moshi
7. Mohamed Mwameja
8. Boniface Pawasa
9. Victor Costa
10. Athuman Iddi Chuji