Kumi bora ya wachezaji wa mpira wa miguu niliowahi kuona wakicheza hapa Tanzania

Kumi bora ya wachezaji wa mpira wa miguu niliowahi kuona wakicheza hapa Tanzania

Hii ni kumi bora yangu kwa wachezaji niliowahi kuwaona LIVE wakicheza kwa hapa Tanzania.

1. Edibily Lunyamila
2. Mohamed Hussein Mmachinga
3. Amir Maftah
4. Mrisho Ngasa
5. Mbwana Samatta
6. Haruna Moshi
7. Mohamed Mwameja
8. Boniface Pawasa
9. Victor Costa
10. Athuman Iddi Chuji
Yaani wewe kwako wachezaji ni wale washambuliaji tu? Hakuna mabeki? Najua Mwameja utakua umemuweka kwa bahati mbaya
 
Wangu kumi na watatu wa nyongeza

"Golden Boy" - Zamoyoni Mogella
"Tanzania One"- Mohamed Mwameja
"Mmachinga " - Mohamed Hussein
"Homa ya Jiji" - Makumbi Juma
"Kiminyio" - Madaraka Selemani
"Fundi" - Method Mogella
"Jembe Ulaya" - Bakari Malima
"Computer" - Sunday Manara
"Golota" - Joseph Kaniki
"SMG" - Said Maulid
"Ball Dancer" - Mao Mkami
"Nyumba" - Victor Costa
"Rungu"- Nteze John
Tuanzie 1960 to 2020.....tupate 10 bora
 
Wangu kumi na watatu wa nyongeza

"Golden Boy" - Zamoyoni Mogella
"Tanzania One"- Mohamed Mwameja
"Mmachinga " - Mohamed Hussein
"Homa ya Jiji" - Makumbi Juma
"Kiminyio" - Madaraka Selemani
"Fundi" - Method Mogella
"Jembe Ulaya" - Bakari Malima
"Computer" - Sunday Manara
"Golota" - Joseph Kaniki
"SMG" - Said Maulid
"Ball Dancer" - Mao Mkami
"Nyumba" - Victor Costa
"Rungu"- Nteze John
Makumbi Juma, Peter Tino na Zico wa Kilosa mbona siwaoni hapo?
 
Hii ni kumi bora yangu kwa wachezaji niliowahi kuwaona LIVE wakicheza kwa hapa Tanzania.

1. Edibily Lunyamila
2. Mohamed Hussein Mmachinga
3. Amir Maftah
4. Mrisho Ngasa
5. Mbwana Samatta
6. Haruna Moshi
7. Mohamed Mwameja
8. Boniface Pawasa
9. Victor Costa
10. Athuman Iddi Chuji
wapo wengi

Malota Soma
Hussein Masha
Nteze John
Bea Simba
Edibily Lunyamila
Mohamed Huseein aka Machinga
Beki bora George Masatu
Fumo Felician
Said Mwamba Kizota
Zamoyoni Mogela
Method Mogela
Hamisi Thobias Gagarino
Kenth Mkapa
Ramadhan Lenny
Issa Athuman
Justine Ntekere
Sanifu Lazaro
Abubakar Salum
Abeid Mziba
Athuman Juma Chama
 
wapo wengi

Malota Soma
Hussein Masha
Nteze John
Bea Simba
Edibily Lunyamila
Mohamed Huseein aka Machinga
Beki bora George Masatu
Fumo Felician
Said Mwamba Kizota
Zamoyoni Mogela
Method Mogela
Hamisi Thobias Gagarino
Kenth Mkapa
Ramadhan Lenny
Issa Athuman
Justine Ntekere
Sanifu Lazaro
Abubakar Salum
Abeid Mziba
Athuman Juma Chama
Nimetoa list ya niliowahi kuona wakicheza. Kina Zamoyoni Mogela hawakuwa wa wakati wangu.
 
Mohamed mwameja
Kasongo Athumani
Keneth Mkapa
George Magere Masatu
Method Mogela
Athuman China
Husen Masha
Edili Jonas Lunyamila
Leny Ramadhan
Said mwamba ,"kizota"
Dua said



Makumbi Juma
Tom kipese
Siwa

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
JONAS MKUDE.
JONAS MKUDE
JONAS MKUDE
JONAS MKUDE
JONAS MKUDE
JONAS MKUDE
JONAS MKUDE
JONAS MKUDE
JONAS MKUDE
JONAS MKUDE.
 
Chama 3c's


















John Rafael bocco
Simon msuva
Okwi emmanuel
Kagere



Hawa ni kwa kipindi nlichoanza kuangalia mpira wa bongo
Sio all time greats
Hii ligi kuu wengine tunaifatilia kwa msaada wa Azam
 
Idd pazi
Kasongo Athumani
Alphonse modest
George Masatu
Said mwamba
Alli Mayay
Mrisho ngasa
Athumani china
Muhamed Hussein
Malota soma
Edibily lunyamila

Wachezaji wangu 10 Bora niliowaona vizuri
Line up nihiyo.
 
Hii ni kumi bora yangu kwa wachezaji niliowahi kuwaona LIVE wakicheza kwa hapa Tanzania.

1. Edibily Lunyamila
2. Mohamed Hussein Mmachinga
3. Amir Maftah
4. Mrisho Ngasa
5. Mbwana Samatta
6. Haruna Moshi
7. Mohamed Mwameja
8. Boniface Pawasa
9. Victor Costa
10. Athuman Iddi Chuji
Mmachinga mtoe sifa alipata baada ya kuifunga Simba tu hakuwa na jipya.
 
BINAFSI.
1. LUNYAMILA
2. EPHRAHIM MAKOYE
3. SAID MAULID
4. SHEKHAN RASHID
5. CHAMBUA SEKILOJO
6. PAWASA
7. OKWI
8. DUA SAID
9. STEVEN MAPUNDA "GARINCHA"
10. MARK SERENGO (ALIKAA KWA MUDA MCHACHE PALE SIMBA ILA ALIKUWA MSHAMBULIAJI HATARI SANA)
 
Said Mwamba
Method Mwogela
Steven Mussa
Abubakar Sureboy
Nassor Mwamba Kizota
Zamoyoni Mwogera "Fundi"
Issa Athuman
David Mwakerebera
Edimile Runyamila
Method Mogella
Nassoro Mwamba Kizota simfaham.

Zamoyon Mogella
David Mwakalebela
Edibil Lunyamila
 
Said Mwamba
Method Mwogela
Steven Mussa
Abubakar Sureboy
Nassor Mwamba Kizota
Zamoyoni Mwogera "Fundi"
Issa Athuman
David Mwakerebera
Edimile Runyamila
Said Mwamba ni tofauti na Nassoro Mwamba Kizota? Jamani!!!
 
Back
Top Bottom