Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Madilu SystemNimetafuta nione mtu aliyefaja haya mapini ila sijaona.
- Rtc Riva
- Si je savais ca
- Ya Jean
Sijasahau ila ni bahati mbaya haijaweza ingia kwenye top ten yanguUmegonga mule mule umeisahau kalayi boieng ya wenge musica
Bila KALAYI BOEING hiyo orodha kwangu ni sawa na kikokotoo tu.Umegonga mule mule umeisahau kalayi boieng ya wenge musica
Ngoma kali sana hiyo naweza sema ya muda woteUmeisahau LOI ya grand mopa Koffi Olomide ilikimbiza sana hii ngoma
Namba 2 na 3 alifanya Madilu Mult SystemNimetafuta nione mtu aliyefaja haya mapini ila sijaona.
- Rtc Riva
- Si je savais ca
- Ya Jean
Hawajui miziki hao ukiona watu Hawamtaji Baba wa Mziki wa kongoNimetafuta nione mtu aliyefaja haya mapini ila sijaona.
- Rtc Riva
- Si je savais ca
- Ya Jean
Watu tunatofautiana, kweli kwenye list yako unakosa watu kama Franco na Madilu.Nawasalimu kwa jina la Chama pendwa.
Kabla sijataja kumi bora yangu ya nyimbo za muziki wa Congo (Kinshasa & Brazaville) ni lazima tukubali tu kwamba bado rhumba na dansi ni miziki inayopendwa toka rohoni kabisa ila media zinatulazimisha tuone ni miziki iliyopitwa na wakati. Hadi leo hii Club au hata kwenye sherehe likiachiwa sebene la Etat Major au Pentagone ya Wenge huwa kunatokea msisimko wa ajabu. Kwangu mimi kusema Bongo flava ni bora kuliko dansi na rhumba ni kichekesho.
Top ten zangu ziko mbili. Ya kwanza ni muziki wa dansi kwa ujumla na ya pili ni rhumba ambayo naweza sema labda ndo slow jams ya kiafrika.
Kumi bora hii hapa:
1. Losambo - EXTRA MUSICA
2. Droit de Veto - KOFFI OLOMIDE
3. Titanic - WENGE MUSICA BCBG
4. Pentagone - WENGE MUSICA BCBG
5. Amnistie Shalai - EXTRA MUSICA
6. Effrakata - KOFFI OLOMIDE
7. Solola Bien - WENGE MUSICA MAISON MERE (WERRASON)
8. Original - FALLY IPUPA
9. Decompte final - SUZUKI
10. Gate le coin - AWILO LONGOMBA
Kumi bora ya rhumba hii hapa;
1. Omba - JB MPIANA
2. Feux de l'amour - JB MPIANA
3. Vita Imana - FERRE GOLA
4. Airways - KOFFI OLOMIDE
5. Attente - FALLY IPUPA
6. Une Minute - FALLY IPUPA
7. Fatmata - SAM MANGWANA
8. Number two - KOFFI OLOMIDE
9. 100 Kilos - FERRE GOLA
10. Blandine - WERRASON
Kama una top ten yako tuambie pia.
Mkuu mimi mwenyewe nimeshangaa sana tena watu kusahau hiyo ngoma inaitwa ya Jean duuuh ni hatari.Hawajui miziki hao ukiona watu Hawamtaji Baba wa Mziki wa kongo
Madilu system na Ndugu yake Franco luambo makiadiii unajua hawajui
Unawaachaje Dada zetu mbili Abeli na shelamwana na Mpongo [emoji3590]
1. Kine Bouger ( Wenge BCBG )Hongera mkuu umenikumbusha zile raha za miziki. Si wengine ni wababaishaji tu, ingawa tunazipenda hizi nyimbo, ila hatuna kumbukumbu ya majina. Kuna huyu mwamba, GENTAMYCINE ,hajabobea kwenye michezo na siasa tu, huku nako ana utaalamu mkubwa, kama vile aliishi, au anaishi huko huko Congo! Nitafurahi, naye akitia neno kwenye uzi huu!
MUCHANA-kanda bongoman hakuna rhuma kali kama lile mkuuNawasalimu kwa jina la Chama pendwa.
Kabla sijataja kumi bora yangu ya nyimbo za muziki wa Congo (Kinshasa & Brazaville) ni lazima tukubali tu kwamba bado rhumba na dansi ni miziki inayopendwa toka rohoni kabisa ila media zinatulazimisha tuone ni miziki iliyopitwa na wakati. Hadi leo hii Club au hata kwenye sherehe likiachiwa sebene la Etat Major au Pentagone ya Wenge huwa kunatokea msisimko wa ajabu. Kwangu mimi kusema Bongo flava ni bora kuliko dansi na rhumba ni kichekesho.
Top ten zangu ziko mbili. Ya kwanza ni muziki wa dansi kwa ujumla na ya pili ni rhumba ambayo naweza sema labda ndo slow jams ya kiafrika.
Kumi bora hii hapa:
1. Losambo - EXTRA MUSICA
2. Droit de Veto - KOFFI OLOMIDE
3. Titanic - WENGE MUSICA BCBG
4. Pentagone - WENGE MUSICA BCBG
5. Amnistie Shalai - EXTRA MUSICA
6. Effrakata - KOFFI OLOMIDE
7. Solola Bien - WENGE MUSICA MAISON MERE (WERRASON)
8. Original - FALLY IPUPA
9. Decompte final - SUZUKI
10. Gate le coin - AWILO LONGOMBA
Kumi bora ya rhumba hii hapa;
1. Omba - JB MPIANA
2. Feux de l'amour - JB MPIANA
3. Vita Imana - FERRE GOLA
4. Airways - KOFFI OLOMIDE
5. Attente - FALLY IPUPA
6. Une Minute - FALLY IPUPA
7. Fatmata - SAM MANGWANA
8. Number two - KOFFI OLOMIDE
9. 100 Kilos - FERRE GOLA
10. Blandine - WERRASON
Kama una top ten yako tuambie pia.