bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 7,794
- 7,551
Andoya - Ochestra Lipua lipua
Ndaya ?
Ndaya ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama hakuna Fred Nelson humu basi funga thread yako tu.
Ndugu ndo maana nimesema top ten yangu. Hayana ni maoni yangu binafsi. Kwenye top ten yako utawaweka hao.Watu tunatofautiana, kweli kwenye list yako unakosa watu kama Franco na Madilu.
Nawasalimu kwa jina la Chama pendwa.
Kabla sijataja kumi bora yangu ya nyimbo za muziki wa Congo (Kinshasa & Brazaville) ni lazima tukubali tu kwamba bado rhumba na dansi ni miziki inayopendwa toka rohoni kabisa ila media zinatulazimisha tuone ni miziki iliyopitwa na wakati. Hadi leo hii Club au hata kwenye sherehe likiachiwa sebene la Etat Major au Pentagone ya Wenge huwa kunatokea msisimko wa ajabu. Kwangu mimi kusema Bongo flava ni bora kuliko dansi na rhumba ni kichekesho.
Top ten zangu ziko mbili. Ya kwanza ni muziki wa dansi kwa ujumla na ya pili ni rhumba ambayo naweza sema labda ndo slow jams ya kiafrika.
Kumi bora hii hapa:
1. Losambo - EXTRA MUSICA
2. Droit de Veto - KOFFI OLOMIDE
3. Titanic - WENGE MUSICA BCBG
4. Pentagone - WENGE MUSICA BCBG
5. Amnistie Shalai - EXTRA MUSICA
6. Effrakata - KOFFI OLOMIDE
7. Solola Bien - WENGE MUSICA MAISON MERE (WERRASON)
8. Original - FALLY IPUPA
9. Decompte final - SUZUKI
10. Gate le coin - AWILO LONGOMBA
Kumi bora ya rhumba hii hapa;
1. Omba - JB MPIANA
2. Feux de l'amour - JB MPIANA
3. Vita Imana - FERRE GOLA
4. Airways - KOFFI OLOMIDE
5. Attente - FALLY IPUPA
6. Une Minute - FALLY IPUPA
7. Fatmata - SAM MANGWANA
8. Number two - KOFFI OLOMIDE
9. 100 Kilos - FERRE GOLA
10. Blandine - WERRASON
Kama una top ten yako tuambie pia.
Modern Rhumba
1. Dulcinee - Koffi Olomide
2. Bombe - Fally Ipupa
3. Judement - Ferre Gola
4. Mea Culpa - Ferre Gola
5. Recto Verso - JB Mpiana
6. Roi Manitou - Fally Ipupa
Nimetafuta nione mtu aliyefaja haya mapini ila sijaona.
- Rtc Riva
- Si je savais ca
- Ya Jean
Daaah! Kila mchango, unagundua kuwa, karibia kila mchango unakuja na kitu kipya, kiasi kwamba unaona ni vigumu kuteua kumi bora!1. Leau __Madilu
2. Biya __Madilu
3.Pie mboyo__Madilu
4.Sans papier__Madilu&TP OK JAZZ
5.Apula___ Madilu
6.Ye jean___ Madilu
7. Pesa positioni__TP OK JAZZ
8.Ngungi___Franco&Tabuley
9. Makambo ezali na minene__Franco
10.Kimpa kisangameni__Franco
11.Bandeko ya mwasi__Franco
12.Laile___Franco
13.Sadou___ Franco
14.Flora___Franco
15.Wendenda__Mbilliabel
16.Nadina___Mbilliabel
17.Nakei Nairobi__Mbilliabel
18.Nairobi night__soukous stars
19.Muzina___Tabuley
20.Ibeba___Tabuley
21.Bana ba camerun__Sam mangwana
22.Fatimata___Sam mangwana
23.Suzane___Sam mangwana
24.Mbongwe___Mayaula mayoni
25.Bakayoko___Mayaula mayoni
26.Dunia ina mambo___Lady issah
27.Loi___Koffi olomide
28.Mico___Koffi olomide
29.Papito___Koffi olomide
30.Feux de la amour___JB mpiana
31.Solola bien___Werason
32.Etat major___Extra musica
33.Losambo___Extra musica
34.Titanic___Wenge musica
35.Mohamed kaniasi___Wenge musica
36.Nina___Nyboma
37.Moyibi__Pepe kalle
38.Icole___Oliverngoma
39.Bane___Oliver ngoma
40.Evelyner___Aurusmabele
wakuu hii ni playlist naipata huku nikiwa safarini.
Diblo Dibala Baba wa Solo GuitarNmeusoma Uzi kwa umakini, ila nmeshindwa kuja na Top 10 maana nyimbo zote ni kali, tungefanya labda TOP 50 ndugu mleta Uzi.......Anyway nmewaletea TOP 10 ya Wapiga Gitaa Bora Wa Muda Wote wa CONGO[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
1.Diblo Dibala
2.Dally Kimoko
3.Lokassa Ya Mbongo
4.Kimbangu Solo
5.Ngouma Lokito
6.Nene Tchakou
7.Phellipe Ferreira "Saladin"
8.Alain Makaba
9.Roga Roga
10.Sonor Digital
Wimbo mtamu zaidi wa Madilu System unaitwa Fifi Alongi hebu usikilize hivi sasa kisha uje unipe Mrejesho wako kabla sija Log Out Saa 7 Kamili ( dakika 11 tu ) kutoka sasa.Kutoka kwa Madilu ukiachana na Ya Jean
1. Kupanda
2. Nzele
3. Viex Samy
4. Vincent
5. Aminata
Mpaka leo Congo DR nzima hakuna Rhumba zinazopendwa na Kupigwa kila mara kama ule wa Omba ( wake JB Mpiana ) na Wenge BCBG yake na wa Destination ( wake Koffi Olomide ) na Quarter Latin yake.Tuko pamoja hapo kwenye Rhumba
Vita Imana
100 Kilos
Feux de la amour [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Pia kuna moja ya Ferre gola le padre jnaitwa Carte Rose ipo kwenye album yake mpya yakuitwa Dynastie
Asikulazimishe atakavyo au siyo Mkuu?Ndugu ndo maana nimesema top ten yangu. Hayana ni maoni yangu binafsi. Kwenye top ten yako utawaweka hao.
Ni kweli kabisa mkuuDaaah! Kila mchango, unagundua kuwa, karibia kila mchango unakuja na kitu kipya, kiasi kwamba unaona ni vigumu kuteua kumi bora!
Kweli Popoma umenikumbusha Destination. Bonge la wimbo aiseeMpaka leo Congo DR nzima hakuna Rhumba zinazopendwa na Kupigwa kila mara kama ule wa Omba ( wake JB Mpiana ) na Wenge BCBG yake na wa Destination ( wake Koffi Olomide ) na Quarter Latin yake.
Hapo mjengoni classic band weka mapenzi yanaumaKama wewe mpenz wa rhumba wikend hii sikiliza ngoma hizi
1' 100kilos ...ferre gola
2. Attente.. fally ippupa
3 . Si je savais ca..madilu system
4. Usiku ...mjengoni classic band
5. Kamasutra... Ferre gola
6. Associe ... Fally ippupa
7. Vita imana .. ferre gola
8. 3eme.. ferre gola..(Sina hakika na jina vizuri)