Kumi bora yangu ya wakati wote ya nyimbo kali za muziki wa Congo

Upande wangu kwenye bolingo bana hakuna kinachonivutia kama wale jamaa wapiga solo na rythim wa zamani walikuwa wanajua aisee salute kwao...

-jmpiana-wenge(BCBG)titanic
-werason-sololabien
Awilo-karolina lile solo lakumalizia verse ya mwisho[emoji114]
-extra musica-ndombolo
-awilo-gate or coin
- extra musica-fred Nelson
-extra musica-rogaroga....


Matchatcha-diblo dibala
Lucien bokilo-aziza
Kanda bongo-billi
Bozi boziana-palpitation
 
Watu tunatofautiana, kweli kwenye list yako unakosa watu kama Franco na Madilu.
 
Hawajui miziki hao ukiona watu Hawamtaji Baba wa Mziki wa kongo

Madilu system na Ndugu yake Franco luambo makiadiii unajua hawajui

Unawaachaje Dada zetu mbili Abeli na shelamwana na Mpongo [emoji3590]
Mkuu mimi mwenyewe nimeshangaa sana tena watu kusahau hiyo ngoma inaitwa ya Jean duuuh ni hatari.
 
1. Kine Bouger ( Wenge BCBG )
2. Magic ( Quarter Latin )
3. Top Model ( Wenge BCBG )
4. Micko ( Quarter Latin )
5. Waka Waka ( Wenge Maison Mere )
6. Filandu ( Wenge BCBG )
7. Respect ( Quarter Latin )
8. Kibuisa Mpimpa ( Wenge Maison Mere )
9. Omba ( Wenge BCBG )
10. Mohammed Kaniansy ( Wenge BCBG )
 
1. Ce charle carnival- Pepe Kalle
2. Pantaloon Moriba- Jean Baron
3. Nabeleli- Jean Baron
4. Indonation - Extra Musica
5.Ya jean - Madilu
6. Affaire detat - Koffi
7. Respect- Koffi Olomide
8. Carvaille - G7
9.Magie- Koffi Olomide
10. Melina - Kanda bongoman
 
MUCHANA-kanda bongoman hakuna rhuma kali kama lile mkuu
 
1.poison de avril-fere gola (Le chante)
2:vita imma-le padre fere gola
3:associe:fally ipupa de cap la marville
4:chichi wash:free gola
5:kiti ya libala:ferre gola
6:french kiss:fally
7:100 kilos-fere gola
8:3eme de tout:ferre gola
9:Azalaki se awa:gatho ...pia remix iliyoimbwa na ferre na dj arafat
10-posa ya bolingo-alicious
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…