Kumi bora yangu ya wakati wote ya nyimbo kali za muziki wa Congo

Kwenye Efrakatta kuna Sarbarty Brigade na Bebe Kerosene. Huyu Bebe Kerosene ndo anaimba kama vile ana kikohozi kimemkwama.
Yupi anaanza kuimba, maana yule aliyeanza ni wa moto saana, vvipi kazi zake nyingine?

Na kwenye force de frappe je?
 

Destin ya moto huu ni moto mwingine
 
Mkuu sikiliza Nairobi ya mwanamama mbilia bel uje kunishukuru baadaye
 

Passion d’avril
3eme doigt (humu jamaa kaimba matusi mkuu 3eme doigt maana yake dole la kati)
Ila nenda kasikilize michel panzu (je t’attends) iko Poa sana
 

Kumuacha flamme kapaya na japonnais maladi bila kumsahau Sarah solo ni dhambi kama dhambi zingine tu mkuu kawasikilize vizuri kisha umtoe kimbangu kwenye list hiyo
 
Dandy victoria elason phenomena mbili Abel marcory gazol soukoss egide zaiko langalanga bravo carthy papa wemba freddy nelson extra
 

Kiti ya libala!!!![emoji1316]
 
Hivi nani aliyepiga Solo kwenye nyimbo hizi 1.Pepe Kalle-Yanga Afrika Umoja wa Mataifa 2.Defao ft Chez Ntemba -Suke Chile 3.Extra Musical International - z 1

cc GENTAMICYNE
 

2 za juu nmeskiliza juzi
 
Inaonekana ni mnazi wa fally ipupa.... Vp dada yetu Cindy Le cour mbona umemtupa
 
Kuna mdada anaitwa Meje 30 ni product ya Tshala Muana. Ana pini zake mbili za Rhumba ni balaa
1. Fimbo ya Bakandja
2. Doukou Doukou

Zitafute utanishukuru baadae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…