Kumi bora yangu ya wakati wote ya nyimbo kali za muziki wa Congo

..kuna ngoma hii ya Pepe Kale imetulia lakini haikupata umaarufu.

 
Kimbangu anabalaa huyo 🤠🤠🙌, japo diblo nayeye yumo ila kimbangu apewe heshima yake
 
Mkuu wasalimie wote hapo Kongo madukani
 
Umetisha[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]....kale kawimbo sijui tutakajuaje sasa, unazeeka vibaya babu
 
Huu wimbo wa Ndombolo ya Solo umenikumbusha mbali sana aisee,kweli siku hazigandi
 
Huu wimbo wa Ndombolo ya Solo umenikumbusha mbali sana aisee,kweli siku hazigandi

Extra musica waliweza naongezea
Aminstie shalai ya 1990 wa hao hao extra.
 
4. Bupe... papy tex amekujaa papy tex amekuja na dar ee mpenzi bupeee...
What a good old memory

6. Mad yondo sister ahaa
 
Hawa wataalamu wako wapi kwasasa..bado wanapiga vyombo ?
 
Umeeleza vizuri Sana..umenikumbusha mbali kiongozi..
 
Naunga mkono hoja
Naunga mkono hoja
 
Hapo kwenye Rhumba nakupinga, hizo nyimbo zote haziingii hata kwenye Top Ten kasoro mmoja tuu wa Feux de l'amor.

Kasikilize hii mikwaju ndiyo utajua nachoongea:

1. Wake Up - Papa Wemba ft Koffi Olomide.

2. Ikéa - Koffi Olomide.

3. Nzele - Madilu Systém.

4. Zazou - Ferre Gola.

5. RTC Riva - Madilu Sytem.

6. Feux de l'amor - JB Mpiana.

7. Oye Lisusu - Bana Ok.

8. Layile - Franco & le T.P. O.K. Jazz.

9. Papy Sodolo - 4 Etoiles du Zaire.

10. Blessure de'amour - Madilu System.

Hizo nimekuwekea zile ambazo ni kali lakini watu wengi hawazifahamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…