Kumjua Mwanamke 'aliyechezewa' Kimahusiano na Wanaume na amewachoka, hizi ndizo kauli zao

Kumjua Mwanamke 'aliyechezewa' Kimahusiano na Wanaume na amewachoka, hizi ndizo kauli zao

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
1. Siku hizi kuna Wanaume kwani?

2. Sina hata haja na Wanaume.

3. Watoto nilio nao ndiyo Faraja yangu.

4. Wanaume wa nini wakati Wote ni wale wale tu.

5. Natafuta tu Mwanaume wa Kuzaa nae ila sitaki Kukaa nae.

6. Wanaume ni Waongo sana.

7. Wanaume wa Siku hizi ni Wabahili kweli kweli.
 
Wanaume tunasemaga "Hawa madem..." au "Hizi pisi..."
 
1. Siku kuna Wanaume kwani?

2. Sina hata haja na Wanaume

3. Watoto nilio nao ndiyo Faraja yangu

4. Wanaume wa nini wakati Wote ni wale wale tu

5. Natafuta tu Mwanaume wa Kuzaa nae ila sitaki Kukaa nae

6. Wanaume ni Waongo sana

7. Wanaume wa Siku hizi ni Wabahili kweli kweli
Watakwambia tafuta hela wewe ule warembo🤣🤣🤣🤣
 
😀😀😀 bora huu uzi umeuanzisha mwenyewe !!! Maana comment za waja huwa hazikusumbui !! Wanakuja mkuu
 
1. Siku kuna Wanaume kwani?

2. Sina hata haja na Wanaume

3. Watoto nilio nao ndiyo Faraja yangu

4. Wanaume wa nini wakati Wote ni wale wale tu

5. Natafuta tu Mwanaume wa Kuzaa nae ila sitaki Kukaa nae

6. Wanaume ni Waongo sana

7. Wanaume wa Siku hizi ni Wabahili kweli kweli
8.Wanaume wote ni mashetani tu
9.Sitakaa nije kumuamini mwanaume kwenye maisha yangu,

Halafu ukute sasa alishazalishwa akaachwa, sumu zote hizi anampandikiza mwanae,angalia hiyo product yake sasa...
 
Back
Top Bottom