GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Watakwambia tafuta hela wewe ule warembo🤣🤣🤣🤣1. Siku kuna Wanaume kwani?
2. Sina hata haja na Wanaume
3. Watoto nilio nao ndiyo Faraja yangu
4. Wanaume wa nini wakati Wote ni wale wale tu
5. Natafuta tu Mwanaume wa Kuzaa nae ila sitaki Kukaa nae
6. Wanaume ni Waongo sana
7. Wanaume wa Siku hizi ni Wabahili kweli kweli
Bila Mkuyenge?Single and happy
8.Wanaume wote ni mashetani tu1. Siku kuna Wanaume kwani?