Kumruhusu binti akajitafutie maisha ni kumfanya awe Malaya


Kwa jinsi maisha yalivyo ni Bora umtafutie binti maisha yake, mwanaume ndiye mtafutaji
 

Wasomi wamechanganyikiwa mkuu
 

Mwanamke bila uoga haitwi mwanamke.
Unasomea mwanamke jua unamzungumzia kiumbe gani!
 
Hukumuelewa kasema aolewe na mtu anayeelewana na mzazi
 
Asante sana kwa mada nyingine nzuri nimeichukua jinsi ilivyo kwaajili ya binti yangu.
 
We jamaa unaongelea maisha ya kizazi cha kina Musa.
Waoaje wenyewe wako wapi siku hizi!? Single maza wapo kibao huko mitaani.
Dunia imebadilika ndgu na wafia dini hamna budi kubadilika kadri nature inavitaka
 
Uko sahihi na pia mambo huwa yanaharibika kwa mabinti wakiwa chuoni sababu wazazi wanawachukulia tayri ni watu wazima kitu ambacho si sahihi.
Binti hata akiwa chuo lazima bado awepo chini ya uangalizi kwanza kwa kujua anaishi wapi na hata kumtembelea kwa kushtukiza ili kama kabadilika uweze rekebisha.
Malezi pia hayaishii kwa mabinti hata wavulana Kuna ndugu yetu mmoja alipata kazi mkoa mwingine mzee wake akamtafuta mtu anayemuamini kule akampokea akakaa kwake kwa muda ndio akajitenga.
Kwanza kama mtoto ana akili nzuri hata akioa naweza mshauri akae nyumbani ili aendelee kusave hela.
Hapo kwenye kumchagulia mtu wa kumuoa wakikosana atakulaumu Maisha yote nadhani tusiwape mabinti pressure yakuona ndoa ni Kila kitu na kwamba wasipokuwa nayo wamefeli.
 
Wewe umenena vyema.
 
daah hata nilizojenga mimi sio zangu tena mkuu???
 
Ukolini mtupu,mtu kasoma chuo uko ukiwa nae mbali ,akimaliza ndio uje ukamfuge nyumbani huoni Kuna mapungufu apo,kwaiyo nyumbani ndio salama au..ebu tusi danganyane mkuu,labda kama umemuwekea kufuli la gps na camera.
 
Asante sana kwa mada nyingine nzuri nimeichukua jinsi ilivyo kwaajili ya binti yangu.
hapana bro,nimeishasema kule post ya nyuma kidogo,utumie ushauri huu kulingana na mazingira pia hata hali ya mtendewa!
 
Ukolini mtupu,mtu kasoma chuo uko ukiwa nae mbali ,akimaliza ndio uje ukamfuge nyumbani huoni Kuna mapungufu apo,kwaiyo nyumbani ndio salama au..ebu tusi danganyane mkuu,labda kama umemuwekea kufuli la gps na camera.
Ni vizuri maana umeibua fikra mpya,maana yake usimchunge bali mshibishe madini ya ubongo
 
Kuwa na opinions without being well informed is actually disgusting, this is fvcking mad view.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…