Kumruhusu binti akajitafutie maisha ni kumfanya awe Malaya

Washauri wa ndoa wanapendekeza
1.kuoa mke aliyetoka Chini ya imaya ya wazazi wake (kwenda kuwa chini ya mume)-NDOA KUWA NZURI NI UHAKIKA
2.Na kuchukua tahadhari zote kuoa mwanamke aliyeanza kujitegemea (WENGI WANAISHI KWA HISANI YA WANAUME WENGI, UCHI WAO UKIWA NI DHAMANA AA KUISHI KWAO)-NDOA ZINAKUWA HALI TETE!
 
Kuna watu wataandika "Chai"
 

Utapigwa wewe shauri yako!
Umerusha jiwe
 
Mawazo ya kijima ya karne ya 17
 
Ha ha ha
Maake aPo ncheke 😂😂😂!

We mwanamke huyo wa kumfanya hivyo labda awe kasomea chuo cha madrasa. Ila kama aliPitia miaka 3 ya chuo basi tambua tu kuwa haliwezekani
 
Siku hizi asilimia kubwa ya wadada,wakiajiriwa au kabla hata ya ajira,wanahama kwao,masela wanaanza kwenda usiku,wanapeleka moto..... asubuhiasubuhi,boda anaitwa,anamuondoa mwanaume.Hiyo imekua kama desturi,mwisho wa siku,jamii inakuja kushuhudia mtu kanenepa kama Jokate wa Sasa,na mwishowe wanafunga ndoa kama Nandy,huo ndiyo usasa.
 
Ha ha ha
Maake aPo ncheke 😂😂😂!

We mwanamke huyo wa kumfanya hivyo labda awe kasomea chuo cha madrasa. Ila kama aliPitia miaka 3 ya chuo basi tambua tu kuwa haliwezekani

Mbona Kwa Wahindi, waarabu, Wachina, Wayahudi yanawezekana?
 
Kwa jinsi maisha yalivyo ni Bora umtafutie binti maisha yake, mwanaume ndiye mtafutaji
Hiyo dhana ya umyafutie binti maisha yake inapendeza sana kuisikia ila ukweli wa mambo ni kuwa si kila baba anaweza kufanikiwa hilo kwa asilimia mia, la msingi ni kule mabinti wawe mahodari na wapambanaji wawezao kumudu changamoyo nyingi za kidunia, huwezi kulinda binti yake maisha yake yote lazima akue mkubwa aweze kusimama yeye kama yeye
 
Mwanamke bila uoga haitwi mwanamke.
Unasomea mwanamke jua unamzungumzia kiumbe gani!
Utafiti gani uliwahi kufanya ukasema mwanamke lazima awe muoga??? Uoga ni tabia inayoweza kutokomezwa kwa malezi, lea binti yako awe binti shupavu asiwe muoga muoga

Huyo binti yako ndio mama wa wajukuu wako, imagine awe mama mzembe mzembe hao wajukuu wako atawalea mazingira gani dunia hii???!!!! /
 
Ni wewe huyu huyu mwisho wa siku utaishia kusema wanawake wanataka kututawala
 

Unaweza kushinda nae kumbe analiwa chooni na mume wa mpangaji wako [emoji706]
 

Kwa hiyo wazee wetu walilelea watoto kuwa mashoga why 1/3 kwenye familia?

Kwa nini siyo wote kama issue ni malezi,?

Unajua levels za malezi?
 
Kweli huwezi kupeleka pumbu unaenda kuoa kwa tajiri kama huna cash na wewe
 
Kwa hiyo wazee wetu walilelea watoto kuwa mashoga why 1/3 kwenye familia?

Kwa nini siyo wote kama issue ni malezi,?

Unajua levels za malezi?

Ndio wapo waliolea hiyo tabia,
Ila pia kuna ishu inaitwa Exceptionism.
Mtoto akiwa shoga unapiga RISASI ya kichwa.

Ni vile siku hizi serikali nazo zimeharibikiwa au woga wa kukosa misaada Kutoka nchi za mashoga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…