The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,951
- 12,541
Ni wajinga nyie, tena wewe ni mjinga zaidi...!Anachokitafuta atakipata huyu Lissu wala asifikiri watu wamenyamaza basi wajinga. Serikali ina mkono mlefu sana
Amevunja sheria gani hadi huo mkono wa serekali umkute?Anachokitafuta atakipata huyu Lissu wala asifikiri watu wamenyamaza basi wajinga. Serikali ina mkono mlefu sana
Anachokitafuta atakipata huyu Lissu wala asifikiri watu wamenyamaza basi wajinga. Serikali ina mkono mlefu sana
Hata wimbo wa "Chura" au "nyegezi" niliujua baada ya kupigwa marufuku kabla ya hapo sikujua wimbo huu.Ukitaka kitabu fulani kisomwe sana na wana jamii kipige marufuku, wana jamii watakitafuta hadi wajue kwa nini kinapigwa marufuku.
Nami nitakwenda Ubungo kuulizia je mabasi ya Mbeya yanakuwepo kila siku? Ila sitaondoka mpaka nimuone Lissu kama amefanikiwa kupata tiketi ya shangazi yake
Ulikuwa hujamjua huyo?naona kiswahili kinakusumbua, unawezaje kujibu hoja pasipo kujua kiswahili kwa ufasaha
Anachokitafuta atakipata huyu Lissu wala asifikiri watu wamenyamaza basi wajinga. Serikali ina mkono mlefu sana
Huelewi? Hujasoma nahau? Hiyo maana yake serikali ina nguvu ya kumweka Lisu gelezani.
Tumeshatuma hii comment yako kwa wenye dunia yao. Ushahidi tunazidi kuukusanya tuAnachokitafuta atakipata huyu Lissu wala asifikiri watu wamenyamaza basi wajinga. Serikali ina mkono mlefu sana
Huelewi? Hujasoma nahau? Hiyo maana yake serikali ina nguvu ya kumweka Lisu gelezani.
atakuwa ameshikiwa akili na mtu mwingine au ni mihemuko tu inampelekea kujitoa ufahamuUlikuwa hujamjua huyo?
Not only very calculated strategy but also very devastating to his opponents.KILA KITU ANACHOKIFANYA LISSU KIPO CALCULATED
Na Thadei Ole Mushi.
Kumzuia was a technical mistake again, Hizi siku 7 atazurura hapa Dar ambapo kuna wapiga kura 3.5 Milioni mpaka Milioni 4 Kwa kuingia mtaani inaweza kuendelea kuzivuna kwa njia Moja au nyingine....
Hapa umefanya nini sasa!kwanini usiseme "ni fursa/hasara kwake au ni kwa faida kwa ccm na tume ya uchaguzi".
bandiko lako limeegemea upande mmoja hivyo siwezi kuchangia.
asanteni
Gelezani ndio nini.Anachokitafuta atakipata huyu Lissu wala asifikiri watu wamenyamaza basi wajinga. Serikali ina mkono mlefu sana
Huelewi? Hujasoma nahau? Hiyo maana yake serikali ina nguvu ya kumweka Lisu gelezani.
KILA KITU ANACHOKIFANYA LISSU KIPO CALCULATED
Na Thadei Ole Mushi.
Kumzuia was a technical mistake again, Hizi siku 7 atazurura hapa Dar ambapo kuna wapiga kura 3.5 Milioni mpaka Milioni 4 Kwa kuingia mtaani inaweza kuendelea kuzivuna kwa njia Moja au nyingine...
Ole Mushi ni kada WA CCM ndio aliyesemahata akijamba mtasema ni calculated