Mnyanyembe wa Mboka
JF-Expert Member
- Feb 10, 2017
- 2,348
- 3,038
Aibu yao ... Ila Kama wanakomaa waache tu soon watamgeuka wenyewe bilieve me!!!Hawana hata vyeti halili hawana uwezo hata wa kufundisha commerce Olevel alafu wanapingana na CAG TOO PATHETIC
Wanasikitisha mnoAibu yao ... Ila Kama wanakomaa waache tu soon watamgeuka wenyewe bilieve me!!!
Kunawatu wengine humu nadhani wanafikiri kwa kutumia kiungo kingine ambacho sirasmi kukitumia kufikiri kwahiyo CAG ambae amefanya kazi yake kisheria ambae mawazirr wamesema hawapingani nayeye wanaunga mkono mapendekezo yake wewe unasema nikumsingizia raisi wapi katajwa raisi kati ya waliopoteza 1.5 tirioni nawanaodai zionekane ziliko nanifisadi hizi akili zakijinga kweli tunaomba kama kunamtu mwenyeuwezo wakusema ukweli kuliko mkaguzi atueleze ukweli kulikohuo alioutoa mkaguziHili ni somo na tamko kwa vibaraka wa mafisadi waliozoea kuwazushia viongozi wa Serikali kuwa ni mafisadi ili wapate hela na kukaa kimya.
Style hii ya kihuni ni lazima ikomeshwe na wahusika wanyooshwe.
By the way mafisadi hawawezi kuiba tena na anayebisha ajaribu.
Hizi mbwembwe za kujidai kuna ufusadi wa trilioni 1.5 zitapita na mafisadi wataendelea kunyooshwa vilivyo.
Then kwanini asipelekwe mahakaman??Fisadi mkuu yupo Chadema ...na ufisadi wake ulithibitishwa na Bunge
Lowassa na Mbowe ndio waliolamba 1.5t ya watanzania wanyongeLowasa na mbowe.
Inamaana CAG NI CHADEMAHili ni somo na tamko kwa vibaraka wa mafisadi waliozoea kuwazushia viongozi wa Serikali kuwa ni mafisadi ili wapate hela na kukaa kimya.
Style hii ya kihuni ni lazima ikomeshwe na wahusika wanyooshwe.
By the way mafisadi hawawezi kuiba tena na anayebisha ajaribu.
Hizi mbwembwe za kujidai kuna ufusadi wa trilioni 1.5 zitapita na mafisadi wataendelea kunyooshwa vilivyo.
sasa ulitaka polepole angee nini zaidi ya kilr? hoj ya zzk haijajibiwa weweUmemsikiliza PolePole?Je ukimuuliza Assad anaeeza kusema 1.5 trilioni zilichukuliwa na mtu au taasisi flani?usiwe mdaku!
CCM is a Bunch of thievesWe need our 1.5 trillion,wewe endelea kutetea upupu
Ingekuwa ni uongo wangekuwa tayari wako ndani siku hio hio,kimya maana yake limewakuta.Ndo madhara ya kupika data ili ionenake makusanyo yanapaa.kwa kuanzia mkamateni CAG kwa kusema uwongo...na kulipotosha taifa.!!
Mkifanya hivyo...vizabina zabina kama Zitto na Kafulila hapo watakosa LA kudanganya?
Mkuu njaa ni hatari sanaMleta mada natambua unafanya haya ili walau mkono uende kinywani na watoto wapishane maliwatoni kwa mtiririko unaofaa,pambana,buku saba kwa siku sio ndogo usawa huu.
Awamu ya Visivyo jukikana :Watu wadiojulikana,Matumizi pia yasijukikana kweli usemi huu ni sahihi Running a Government is Not like Family Matterswewe **** kweli kweli tena wa kutisha. kwa hiyo huamini kwamba kunapesa hazijulikani zilipo? kwamba mkaguzi mkuu anamsingizia? duh hadi naohopa manakr