Mbona hueleweki ? , alipigwa risasi na akapitishwa na Chama kuwa mgombea wa Urais wa nchi, kwahiyo kama hajielewi kwa kupigwa risasi basi chama cha chadema wote hawajielewiLissu hajielewi tangu apigwe risasi!
Muhimu apambane na Tigo!
Kwenye chama anakosa bara na Pwani!
Nchi haiwezi kupewa Lissu! Au unaota?Ila kuwa rais wa nchi ilikuwa sawa?
Serikali haiwezi tumia TLS kama chombo chao kama Lissu akiwa kiongozi, Lissu ni mtu na nusu, hakika hapa Chadema imepata mwenyekitiSerikali unayoisemea juzi imewapa TLS gari la dhamani ya +300 million.
Lissu alizalisha migogoro tu
Kijani na CDM walipitisha wagombea ziro !Mbona hueleweki ? , alipigwa risasi na akapitishwa na Chama kuwa mgombea wa Urais wa nchi, kwahiyo kama hajielewi kwa kupigwa risasi basi chama cha chadema wote hawajielewi
RIWAYA;MBOWE MLINA ASALI NA CHUPA YAKE YA KONYAGI....mbowe hayupo chadema kukijenga chama bali kulina asali...ndiyo.maana wanachadema wengi wamemshitukia na mbowe anaogopa kuachia kiti kwa sababu mambo yake machafu ndani ya chadema na ccm yatawekwa wazi ...Lissu ana vigezo vyote kwasasa kuwa mwenyekiti, huyu Mbowe akiendelea kubishana na muda atapata tabu
Lissu ni habari nyingine kijani wana muogopa , yule sio Mbowe ambaye wanaweza kumdanganya wanavyotakaKijana na CDM walipitisha wagombea ziro !
Kijani walishamaliza kazi upande wao,kumrest in Peace.
Kwa hali ya sasa atatoka tu atake hasitake, wakati umesha mtupa mkonoRIWAYA;MBOWE MLINA ASALI NA CHUPA YAKE YA KONYAGI....mbowe hayupo chadema kukijenga chama bali kulina asali...ndiyo.maana wanachadema wengi wamemshitukia na mbowe anaogopa kuachia kiti kwa sababu mambo yake machafu ndani ya chadema na ccm yatawekwa wazi ...
Wewe ni mpiga kura!Kwa hali ya sasa atatoka tu atake hasitake, wakati umesha mtupa mkono
Hapa Tz hakuna kampuni inayoitwa TIGO 😂Lissu hajielewi tangu apigwe risasi!
Muhimu apambane na Tigo!
Kwenye chama anakosa bara na Pwani!
Lissu ni mwamba , saa hizi ccm matumbo joto , kwa Lissu hakuna business as usualUmri wa Lissu haulingani na mane o yanayotoka kinywani mwake!
Naam tena mpiga kura halali sio magumashiWewe ni mpiga kura!
Nakukubali sana na wakati mwingine huwa najisemea yawezekana Magufuli aliwajua vizuri sana hawa Chadema haswa Mbowe ndo maana alikuwa anawashughulikia kiulalo ulaloNi kweli kabisa, Mbowe atamshinda Lisu kwa kura maana ana hela za kuhonga wajumbe wapiga kura, lakini hawezi kuifanya cdm iwe na afya tena maana mabadiliko kwa sasa ndani ya cdm ndio yatainusuru, kwa bahati mbaya Mbowe sio sehemu ya haya mabadiliko. Rejea kilichomtokea Lipumba na CUF aliposhupaza shingo.
Upo sahihi mkuu. Kwa nguvu alizonazo Mbowe, nguvu ya pesa, Wamalawi wanaita ndalama, hata kabla ya uchaguzi Lissu chali. Asikudanganye mtu, maisha ni magumu wanadamu tunahongeka. Unadhani kelele za Lissu kwamba rushwa imetawala kwenye chaguzi za chama ni uongo?Walioko Jf, 80% sio wapiga kura siku ya uchaguzi wa Chadema!
So walioko nje ya Jf, ndio wapiga kura.
Mbowe atamshinda Lissu mapema asubuhi!
Mkongwe,kumbe nawe ni chawa mzee wa mbowe😂😂😂Hivi kwani kuna mahali ameomba kutetewa?
CHADEMA is dead hata kabka ya uchaguzi.Lissu atawanyoosha subirini tu