Kumtetea Mbowe ni vigumu. Igizo lake alilofanya leo lina makosa mengi sana ya kiufundi

Kumtetea Mbowe ni vigumu. Igizo lake alilofanya leo lina makosa mengi sana ya kiufundi

Mbona hueleweki ? , alipigwa risasi na akapitishwa na Chama kuwa mgombea wa Urais wa nchi, kwahiyo kama hajielewi kwa kupigwa risasi basi chama cha chadema wote hawajielewi
Kijani na CDM walipitisha wagombea ziro !
Kijani walishamaliza kazi upande wao,kumrest in Peace.
 
Lissu ana vigezo vyote kwasasa kuwa mwenyekiti, huyu Mbowe akiendelea kubishana na muda atapata tabu
RIWAYA;MBOWE MLINA ASALI NA CHUPA YAKE YA KONYAGI....mbowe hayupo chadema kukijenga chama bali kulina asali...ndiyo.maana wanachadema wengi wamemshitukia na mbowe anaogopa kuachia kiti kwa sababu mambo yake machafu ndani ya chadema na ccm yatawekwa wazi ...
 
RIWAYA;MBOWE MLINA ASALI NA CHUPA YAKE YA KONYAGI....mbowe hayupo chadema kukijenga chama bali kulina asali...ndiyo.maana wanachadema wengi wamemshitukia na mbowe anaogopa kuachia kiti kwa sababu mambo yake machafu ndani ya chadema na ccm yatawekwa wazi ...
Kwa hali ya sasa atatoka tu atake hasitake, wakati umesha mtupa mkono
 
Ni kweli kabisa, Mbowe atamshinda Lisu kwa kura maana ana hela za kuhonga wajumbe wapiga kura, lakini hawezi kuifanya cdm iwe na afya tena maana mabadiliko kwa sasa ndani ya cdm ndio yatainusuru, kwa bahati mbaya Mbowe sio sehemu ya haya mabadiliko. Rejea kilichomtokea Lipumba na CUF aliposhupaza shingo.
Nakukubali sana na wakati mwingine huwa najisemea yawezekana Magufuli aliwajua vizuri sana hawa Chadema haswa Mbowe ndo maana alikuwa anawashughulikia kiulalo ulalo
 
Walioko Jf, 80% sio wapiga kura siku ya uchaguzi wa Chadema!

So walioko nje ya Jf, ndio wapiga kura.
Mbowe atamshinda Lissu mapema asubuhi!
Upo sahihi mkuu. Kwa nguvu alizonazo Mbowe, nguvu ya pesa, Wamalawi wanaita ndalama, hata kabla ya uchaguzi Lissu chali. Asikudanganye mtu, maisha ni magumu wanadamu tunahongeka. Unadhani kelele za Lissu kwamba rushwa imetawala kwenye chaguzi za chama ni uongo?
 
Mbowe sio mpinzani, ni mhuni tu, CDM sasa wameshajua kwa uhakika kuwa. Chadema ni SACCOS ya Mbowe, tulisema miaka, aibu hana Mbowe kabisa, tamaa yake ya madaraka ni kiwango cha madiketa, hafai kabisa..!!
 
Chadema ila siasa kama CCM.

Sasa wataanza walaumu Jambo TV kwa kutoa hiyo clip.
 
Back
Top Bottom