Kumuona Kuhani Mussa wa Kimara kwa haraka ni Tshs Laki 2

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka leo, kama mazuri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Huyu haja lipa laki mbili, akilipa hyu, anaona uchi wako bila kuvua nguo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mamaeee
Sijalipa hata Senti kumi, nilikuwa naenda ibadani, ila sio kila mara, na nasikiliza neno kwa Tv na Redio...

Mi ni Muanglicana na ndio nasali hata sasa...

Nikakuza Imani yangu kwa Yesu ..

Neno la Mungu linasema;
Waaminini Manabii mtafanikiwa, niaminini mimi mtathibitika
 
Jielimishe kuhusu kukua kiroho,,kwa kimombo huitwa SPIRITUAL AWAKENING. Hautakuja na hizo swaga nyepesi za kukua kiroho.
Hizi ni juhudi zangu, za kisikiliza neno na kuliishi na kuomba kwa Imani ..

Huwezi kukua kiroho kirahisi tu, lazima umtafute Mungu kwa bidii zote...

Walio wa Rohoni wanajuana, wewe huwezi nijua maana ni wa mwilini
 
Wakristo acha wapigwe,watakuambia Kobaz wanamuonea gere
 
Hizi ni juhudi zangu, za kisikiliza neno na kuliishi na kuomba kwa Imani ..

Huwezi kukua kiroho kirahisi tu, lazima umtafute Mungu kwa bidii zote...

Walio wa Rohoni wanajuana, wewe huwezi nijua maana ni wa mwilini
Nasubiri kwa hamu ujibu swali langu. Je kwa uzoefu wako, kama ukimwomba Mungu kwa imani katika Jina la Yesu bila kutumia hivyo "vifaa vya kiroho", je utajibiwa maombi yako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…