Kumwambia mwanamke 'FANYA MAARIFA'

Kumwambia mwanamke 'FANYA MAARIFA'

Hamnaga jema nyie wanawake! ukiachiwa kidogo malalamiko kibao,ukiachiwa nyingi hiyo hiyo unabana kweli ufanye matumizi yako yasiyo ya lazima......
Maisha 50-50, sijuwi kwanini waubavu hawataki kukubaliana na hali, na akisema maarifa hajaamisha ujiuze! Kwani mawanaume ukiambiwa fanya maarifa ndio ukimbilie kwa ma sugar-mama?!
Tukubaliane, boma letu, tutalihudumia wote, kwa akili na maarifa...
 
Umeoa mwanamke unajua ni mama wa nyumbani, asubuhi anakueleza mahitaji ya nyumbani unamwambia mke wangu fanya maarifa. Haya maarifa ni maarifa gani unayotaka mtoto wa watu ayafanye?
Duuuhhhhh ,, Hilo Mimi kwangu halipo.

Nitakujazia kila kitu ndani ,,na ela nitaacha ,,, ila ole wako nyumban chakula kikauke au mama yangu au baba wawe wamekuja kunisalimia alafu iwe nongwa [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] .

MBIGU ZITANISAMEHE ,,UTANIACHIA WANANGU BILA KUAMINI MACHO YAKO.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Good afternoon Mr Putin
 
Sasa kama nimeishiwa na sina namna inabidi nimwambie wife afanye namna maana wakati mwingine huwa wana reserve
 
Hebu twende kwenye reality kidogo nikiwa na utimamu wangu, maisha yamebadilika sana kwa sasa hivyo kumtegemea mume kwa 100% ni ngumu sana, unakuwa mzigo mzito mno kwake(kwa wengi wao).

Unakuta ndio kahangaika kakosa atafanyaje sasa!! Anapokwambia fanya maarifa anaamini kama msaidizi wake you have something to add up, sio akili yako iwaze mchepuko, fikiria zaidi ya hapo ili angalau mjikwamue.
 
Umeoa mwanamke unajua ni mama wa nyumbani, asubuhi anakueleza mahitaji ya nyumbani unamwambia mke wangu fanya maarifa. Haya maarifa ni maarifa gani unayotaka mtoto wa watu ayafanye?
Maana ya maarifa hapo anayeijua ni aliyeambiwa kuzingatia muda.
Kwa mfano:
Mchana ukimwambia mama chanja "kaa vizuri" ina maana yake na ukimwambia hivyo hivyo usiku ina maana yake.

Tumuache mwenyewe aliyeambiwa afanye maarifa atekeleze.

Au wewe ulidhani ndio umeruhusiwa kutumia efd mashine?
 
Tena mwanaume anasema mke wangu fanya maarifa ilhali anarudi jioni unakuta mke wako amepiga pilau ya kuku na soda juu. Mke Huyu hana kazi huulizi pesa ametoa wapi?
Astaghafillulah! Mume kumwambia mkewe upuuzi huo ni dalili ya kwanza kuwa anaelekea kuwa bwabwa au kuita wanaume wenziye shemeji. Hiyo ni dhambi. Men should be men always!
 
Vita ya uchumi ambayo huwa anasema raisi Ndio hiyo Kwani huwa hamuelewi?
Unaachiwa buku mezani utajiongeza mwenyewe ufanyeje ili tumeze
hakika hii vita haijawahi kuwa nyepesi ni vita inayohitaji maarifa
 
Back
Top Bottom