Kumwamini Mungu bila kumwamini Yesu Kristo/Yeshua Hamashiach, ni kupoteza muda,moto unakusubiri

(John 14:6)
Jesus: I'm the way, and the truth and Life, no one comes to the father except through me.
Fungu lako halijustify Kuwa Yesu ni Mungu hata Krishna aliwahi kusema Hayo Maneno Miala 1000 Kabla ya Kristo Kuzaliwa yakiwa Exactly kama Yenyewe Soma..
Vipi Unamuamini Krishna Kama Mungu

Bhagavad gita:.. (Chapter 9 verses 18)
(Bhagavad Gita 9:18)

"I am the way, the life ,the sustainer,the Lord ,the witness,the abode, the refuge and the most intimate friend. I am the creation and the dissolution, the basis of everything, the resting place and the eternal seed.."


(Mimi ni ni Njia,uzima, Muongozaji,Bwana,Shahidi, Mnyenyekevu, Mwokozi,na Rafiki wa karibu,Mimi ni Uumbaji,na Uharibifu,mimi ni Mwanzo wa kila kitu , Sehemu ya Pumziko na Mbegu (Chachu) ya milele.)
 
Huku nako ni kupoteza muda,

Wangemjua miungu, wasingepoteza muda kuabudu mwezi na jua kama Mungu yao.

Mungu ni mmoja tu,

Jina lake aitwa YESU KRISTO/Yeshua Hamashiach.
Hakuna Sehemu wanaabudu mwezi na Jua..

kufuata mwezi na Jua Ni Dalili ys Kuamini Kuwa Mungu Yupo ..
Na Hiyo ilifuatwa na Watu wote wa Kale Wayahudi, Wachina ,ns Wengine wote
 
Krishna ni WA lini na Yesu alikuja lini, nani aliyetangulia?

Krishna alifufuka na kupaa mbinguni?

Mungu ni mmoja tu,na jina la huyo Mungu mmoja ni Yesu Kristo/ Yeshua Hamashiach.
 
Roho ya mpinga Kristo ndio hii inayokuongoza,

Ajaye kuuhukumu ulimwengu juu ya DHAMBI hujui kuwa ni Yesu? Hata islam wanajua Hilo, I'll wanakatazwa wasimwamini.

Yesu ndiye huyo huyo Mungu mmoja aliyekuja Katika mwili wa Mwanadamu.
 
HUwezi mtenganisha huyo Yesu unayemwandika na dini ewe mtumwa wa ngano za wazungu.
Dini ziko chini ya serikali za wanadamu, zinasajiliwa na kufutwa,

Yesu ni Mungu, injili aliyoileta duniani, haiwekewi limit na mamlaka, ndio sababu Yesu na wanafunzi wake waliuawa na mamlaka.
 
Krishna ni WA lini na Yesu alikuja lini, nani aliyetangulia?

Krishna alifufuka na kupaa mbinguni?

Mungu ni mmoja tu,na jina la huyo Mungu mmoja ni Yesu Kristo/ Yeshua Hamashiach.
Krishna alikuja na Kuzaliwa Around 3,000 to 5,000 BCE. Ila Kulingana na Masimulizi inaweza Kukadiriwa kuwa ni 3228 BCE, Ukisoma ukalinganisha na Vitabu vitakatifu yaani Mahabharata na Bhagavad Gita..

Wakati Yesu alizaliwa around 4 BCE to 6 BCE.ambayo ni sawa na Tofauti yao ya Miaka 3000..

Kwahyo Krishna Amemzidi Yesu Miaka 3000 Milenia 3 kabla
 
Roho ya mpinga Kristo ndio hii inayokuongoza,

Ajaye kuuhukumu ulimwengu juu ya DHAMBI hujui kuwa ni Yesu? Hata islam wanajua Hilo, I'll wanakatazwa wasimwamini.

Yesu ndiye huyo huyo Mungu mmoja aliyekuja Katika mwili wa Mwanadamu.
Sehemu gani Nimempinga Kristo??
katika Aya Hiyo ya Isaya 9 ni sehemu Gani Imesema Hayo uliyoyasema Ni Sehemu Ipi Imesema Atahukumu Ulimwengu?

Jitahidini Kabla Ya Kuingia Kwenye Mijadala muwe na Dlimu ya Kutosha Kutetea Hoja Zenu.. Vinginevyo Tutakuwa tunaArgue kwa kupitia Dogmatic Thinking Perspectives ambayo ni hatari zaidi kwenye Mijadala..

Narudia Tena Ukisema Mungu alikuja katika Mwili Unatofauti gani na Roman Mythology au Samarien Mythology wenye Wenye Mungu kwenyr Umbo la Mwanadamu
 
Dini ziko chini ya serikali za wanadamu, zinasajiliwa na kufutwa,

Yesu ni Mungu, injili aliyoileta duniani, haiwekewi limit na mamlaka, ndio sababu Yesu na wanafunzi wake waliuawa na mamlaka.
Mkuu, usijidanganye. Kupitia dini ndiyo hiyo injili inatangazwa. Huwezi tenganisha.
Hiyo injili ya Yesu iliyoandikwa na watu wasio Yesu inawekewa limits sehemu kibao tu. Je, hujui kwamba Kuna nchi ambazo haziruhusu mambo ya injili kutangazwa? Hiyo ni limit toka kwa mamlaka ya nchi/jamii hizo.
 
Hiyo ndiyo Roho ya mpinga Kristo inayoongelewa hapo.

Yesu ni Mungu, hana baba wala mama, ndiye Melkizedeki, ufalme wake hauna mwanzo wala mwisho,

Usipomwamini Yesu kuwa ndiye huyo huyo Mungu mmoja aliyekuja Katika mwili wa Mwanadamu,moto unakusubiri.

WEWE huamini kufufuka kwa Yesu, ni mpinga Kristo.
 
Heshima yako mkuu!.

Naomba msaada kidogo kwenye hiyo Isaya 9:6 kuna maneno yanazungumzia sifa za huyo mtoto kuwa ni "Mungu mwenye nguvu", "Baba wa milele".

Naomba uniongezee ufahamu, je hizo sifa zinamhusu pia Mfalme Hezekia?.
 
Isaya alitabiri bikra atachukua mimba na kuzaa moto wa kiume sawasawa na kuzaliwa kwa Yesu kulivyotokea.

Kufungua codes za kinabii alizoandika Isaya ni shart uwe na Roho ya unabii ndani yako amvayo WEWE huna, unayo Roho ya mpinga Kristo.
 
Heshima yako mkuu!.

Naomba msaada kidogo kwenye hiyo Isaya 9:6 kuna maneno yanazungumzia sifa za huyo mtoto kuwa ni "Mungu mwenye nguvu", "Baba wa milele".

Naomba uniongezee ufahamu, je hizo sifa zinamhusu pia Mfalme Hezekia?.
Hawezi kufungua codes za kinabii zaidi ya kukaririshwa kiebrania.
 
Umeomba ujibiwe Kuhusu Hoja ya Umri na Kipindi cha Kuja Yesu na Krishna nimekujibu..

Huo Uungu wa Yesu mbona Huuthibitishi kwa Maandiko?
Zaidi ya Maneno yako wewe?

Na Kingine Labda tunazungumzia Yesu tofauti Yesu naemjua Mimi ana Mama Ww Unayemuongelea Hana Mama Ok sawa πŸ˜€πŸ˜€
 
Baba na mama wa Yesu ni nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…