Kuna aina za gari haipendezi kumilikiwa na mwanaume

Kwa kifupi huyu hamiliki hata baiskeli
Watu wanaomiliki mashine, huwa wanaheshimu watu wengine wenye passo/pikipiki kwa sababu ni hatua tu.....
 
Kwa kifupi huyu hamiliki hata baiskeli
Watu wanaomiliki mashine, huwa wanaheshimu watu wengine wenye passo/pikipiki kwa sababu ni hatua tu.....
Sawa ila wewe unamiliki vits bila shaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…