Kuna aliyewahi kupata mapenzi humu?

Hongereni
 
Unapata tena mke mwema kabisa
 
Nahisi wapo, nina ID yangu ya kike kuna PM nyingi za wanaume humu na namba zao za simu wa etuma ila nawazungusha. Kama kweli ningekuwa dem ningewakubali walao wawili.
Hiyo ID ina Followers, wakati hii ni ya kitambo sina follower hata mmoja.
Kwahiyo mkuu unafurahia kutongozwa
 
Natamani sana nipate japo mmoja please just mmoja tu. Ajitokeze
 
Nahisi wapo, nina ID yangu ya kike kuna PM nyingi za wanaume humu na namba zao za simu wa etuma ila nawazungusha. Kama kweli ningekuwa dem ningewakubali walao wawili.
Hiyo ID ina Followers, wakati hii ni ya kitambo sina follower hata mmoja.
Unaona raha kutongozwa na wanaume wenzio[emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297]
Jesus have mercy.
 
Niliwahi kumpata mdada humu mzuri,bahati mbaya ulikuwa msimu wa korona sina pesa na kazi nilikua nimesimamishwa...

E popote ulipo nakukumbuka mama.
[emoji4][emoji4][emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…