kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Sustain haina kiswahili chake hapo kosa ndipo linapo anzia!Tuamue/twamue
Tuondoke/twondoke
Tuinuke/twinuke
Tuanze/twanze
Kiswahili kinahitaji umakini sana ili kukisustain
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sustain haina kiswahili chake hapo kosa ndipo linapo anzia!Tuamue/twamue
Tuondoke/twondoke
Tuinuke/twinuke
Tuanze/twanze
Kiswahili kinahitaji umakini sana ili kukisustain
Yanakutoa katika kundi la watu wasiojua kusoma na kuandika.Matumizi sahihi ya Lugha yanaongeza vipi kipato cha mtu mmoja mmoja
Fursa za kufundisha kiswahili nje hata warundi watatuacha.tuendako /
Twendako..
Hii nyimbo../
huu wimbo
Una uhakika?Sustain haina kiswahili chake hapo kosa ndipo linapo anzia!
Sio kuhairisha ❎Anza na hapa hapa jf. Kiswahili chetu kinazidi kuwa kibovu. Yaani sisi ni shida kwa mfano vijana ukiwasikiliza utagundua wanachanganya kueleza na kuelekeza. Kuahirisha wenyewe wanaandika kuhairisha iko siku wataandika kuharisha. Tunahitaji kuwekeza kwenye kukuza na kufundisha Kiswahili.
Lugha ni kiswahili!Una uhakika?
'ww' kazi kwelikweliHilo neno Watanzania ulipaswa kuandika watanzania. Hukuwa na haja ya kuanza na herufi kubwa ni makosa. Naungana na ww tatizo ni kubwa mno.
Jamani hali ni mbaya sana, watu wanajua kuhesabu lakini kusoma na kuandika ni utapia kichwa, utapia ujinga unaangamiza taifa nyakati za sasa katika uga wa mawasiliano kwa njia ya maandishi, sms, chats etc.
Mungu aingilie kati hili anguko, naogopa sana tuko tuendako.
Ni hayo tu.
Wadiz
🤣🤣🤣Nimeshangaa walimu nao wanaandika
- Alima wakimaanisha Halima
- Muagama wakimaanisha Mhagama
- Asumani wakimaanisha Athuman
- Mwanaamis wakimaanisha Mwanahamisi
- Alamisi wakimaanisha Alhamisi
- Maali wakimaanisha Mahali
- Maharifa wakimaanisha Maarifa
- Maangahiko wakimaanisha Mahangaiko
- Nisamee wakimaanisha Nisamehe
Nauona ukweli katika hili. Kuna Wakati tulikuwa na Waziri wa Elimu, asiye na Elimu, hatari sana aisee.Yaani hapa kuwaelimisha herufi tu miaka 100
Je kutengeneza vitu na kubuni itakuwa 200 mingine
Bado tuko nyuma sana kwa kweli
Kuna think tank wetu wao wanaumiza vichwa ili watoto wawe wapumbavu mpaka wanakuwa
Na hao ndio wameshika nchi
Roho zao mbaya wanahakikisha nchi na watu wake wabaki masikini daima
100% pure fact!Anza na hapa hapa jf. Kiswahili chetu kinazidi kuwa kibovu. Yaani sisi ni shida kwa mfano vijana ukiwasikiliza utagundua wanachanganya kueleza na kuelekeza. Kuahirisha wenyewe wanaandika kuhairisha iko siku wataandika kuharisha. Tunahitaji kuwekeza kwenye kukuza na kufundisha Kiswahili.
Nimekutana na tangazo 'Ukikojoa faini 500,00/='Jamani hali ni mbaya sana, watu wanajua kuhesabu lakini kusoma na kuandika ni utapia kichwa, utapia ujinga unaangamiza taifa nyakati za sasa katika uga wa mawasiliano kwa njia ya maandishi, sms, chats etc.
Sijui labda ni mimi tu naliona hili. Uandishi mbovu na makosa ya herufi sahihi kwenye maneno.
Mungu aingilie kati hili anguko, naogopa sana tuko tuendako.
Ni hayo tu.
Wadiz
Ndo hya ninayosema 🤣🤣Sio kuhairisha ❎
Usahihi ni kughairisha✅
Hii kiswahili ya wapi? Kughairisha ina maana gani?Sio kuhairisha ❎
Usahihi ni kughairisha✅
Tatizo kubwa Sana,inashangaza wanachofundishwa huko shuleniJamani hali ni mbaya sana, watu wanajua kuhesabu lakini kusoma na kuandika ni utapia kichwa, utapia ujinga unaangamiza taifa nyakati za sasa katika uga wa mawasiliano kwa njia ya maandishi, sms, chats etc.
Sijui labda ni mimi tu naliona hili. Uandishi mbovu na makosa ya herufi sahihi kwenye maneno.
Mungu aingilie kati hili anguko, naogopa sana tuko tuendako.
Ni hayo tu.
Wadiz
Wakati mwingine unakuta anayeandika hivyo ni msomi kabisa! Inasikitisha kwa kweli!Jamani hali ni mbaya sana, watu wanajua kuhesabu lakini kusoma na kuandika ni utapia kichwa, utapia ujinga unaangamiza taifa nyakati za sasa katika uga wa mawasiliano kwa njia ya maandishi, sms, chats etc.
Sijui labda ni mimi tu naliona hili. Uandishi mbovu na makosa ya herufi sahihi kwenye maneno.
Mungu aingilie kati hili anguko, naogopa sana tuko tuendako.
Ni hayo tu.
Wadiz
Ni kughairi na si kuahiri,kuahiri si kiswahiliNdo hya ninayosema 🤣🤣
Mwendo wa lahaja tu
Kuahirisha hutamkwa na lahaja nyingi za bara na kughairisha hutamkwa na lahaja nyingi za pwani kama Kiunguja,Kimakunduchi, kipate n.k