Kuna asilimia ngapi za mwanamke kucheat ikiwa anaridhishwa ipasavyo kitandani?

Hivo hivo unamuona mtu mzuri unatamani akukule
 
Mwanamke haridhiki labda aamue kukuheshimu. Ukimkuna vzr, atatamani mwenye pesa. Ukimuhonga sana atatamani showshow
 
Ukimpa vyote hapo juu, ataona unamkamia sababu ya pesa na ubabe kitandani. Atatafuta mwingine
 
"Hili ni swali ambalo wanaume wapumbavu wanalitafutia majibu"

Mwanamke anatoka nje ya ndoa sababu ajiheshimu, hii sio miaka ya kufuatana na wanawake, ni kufanya vizuri kama Baba kila eneo lako, wakiamua kutoka nje wewe Fanya sala basi na lea watoto!
 
Walau unahoja mkuu (kweli kabisa mwadamu haridhishwi isipokuwa anaamua mwenyewe kurithika na pia mke kuchepuka inategea hofu ya Mungu alonayo na anamuheshimu MUME wake kiasi gani....
 
Walau unahoja mkuu (kweli kabisa mwadamu haridhishwi isipokuwa anaamua mwenyewe kurithika na pia mke kuchepuka inategea hofu ya Mungu alonayo na anamuheshimu MUME wake kiasi gani
 
Kwani umefunga nae ndoa!?
Kama hujamuoa mtu,kila mmoja ana uhuru wa kula/kuliwa popote.
 
Kilitokea nini mkuu?
 
Nikusanue tu mjomba angu.
Mwanamke hata umnunulie iphone 15 lakini akitokea msela akanunulia bando la mwezi Amin nakuambia atapewa utelezi haya kwenye gari lako ulilo mnunulia huyo ndo ataonwa wa mhimu zaidi.


Hata umnunulie gari mpya yaani zero km msela akimwekea full tank tu kwisha habar yako. Kwa mifano hiyo bila shaka utakubaliana Nami kugongewa kuko palepale.

Dobi anaweza kula mzigo Kwa kunyoosha nguo vzr tu Tena ulizonunua wewe Kwa gharama kuubwa.

Kama hiyo haitoshi anaweza toa mzigo Kwa msela kisa tu anapenda utani utani sana.
 
Kwa mwanamke atakupenda kama utampa malazi, watoto, pesa, that's 99.9%. Kumridhisha that's only 0.1%. Bisha uone!
 
Hawa akili yao wataalam washasema haieleweki na hawajui wanataka nini hasa.
Anaweza kucheat na mtu kisa ananukia perfume nzuri tu.
 
"Hili ni swali ambalo wanaume wapumbavu wanalitafutia majibu"

Mwanamke anatoka nje ya ndoa sababu ajiheshimu, hii sio miaka ya kufuatana na wanawake, ni kufanya vizuri kama Baba kila eneo lako, wakiamua kutoka nje wewe Fanya sala basi na lea watoto!
Na hii nayo ni hoja mkuu
 
Ya MUngu mengi....unaweza kumridhisha mbele akaogopa kukujuza MPALANGENI hivyo akachepuka...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…