Kuna baadhi ya Vijana wa Chuo ni wajinga sana

Kuna rafiki yangu mmoja ambaye si mtanzania anaishi Marekani,Boston state!

Huyu jamaa kiasili ni Msweden ambaye anaishi huko Kwa Joe Biden,mimi na yeye urafiki wetu ulianza miaka mingi kidogo baada ya kukutana mkoani Arusha kwenye ishu moja hivi,kuanzia hapo tukawa kama ndugu!.

Sikutaka kabisa kushea hii ishu lakini kuna mdau mmoja nimekutana naye akanieleza habari za vijana ambao wako vyuoni na kile alichotaka kufanya ni kama amekatishwa tamaa na muitikio,mind u, hiyo ishu ingewanufaisha wanafunzi wenyewe lakini ni kama alikuwa anapigia mbuzi gitaa!

Ok kinaona nami niandike huu uzi uenda Vijana mlioko vyuoni mtabadilika kwasababu mnakosa fursa na bahati na mkimaliza vyuo mnaanza kupigia watu kelele!

Mwaka jana mwezi wa 4 huyo rafiki yangu Msweden aishie Marekani tuliwasiliana nae na akanitaka na kuniomba ya kwamba kuna lap top aina ya Mac book ziko 20 mpya kabisa ambazo anatarajia kunitumia,na atakapozituma nitafute wanafunzi wa vyuo ambao wako na changamoto za lap top niwagawie ili niwasaidie katika masomo yao!.

Hii ishu tulikuwaga tukiongea ananiambia kwasababu wakati yuko Arusha alipokuwa akitembelea vyuoni anaona namna wanafunzi wanavyopata taabu,hivyo akanitaka zitakapofika nihakikishe zinawafikia walengwa na kila nitakayekuwa nampatia nihakikishe nampigia Via WhatsApp wanawasiliana ili kumu-encourage,siyo hivyo tu bali alituma na kiasi cha fedha ambacho alitaka kila mwanafunzi kwenye hao wanafunzi 20 niwagawie $500 kila mtu!.

Ok,baada ya mzigo kufika na kuupokea nikaona ni vyema nianze na vyuo vya jiji la Dar es salaam kwakuwa ndipo nilipo ili baadae kwakuwa project ni endelevu nitaelekea mikoani huko pia!.

Chuo cha kwanza kwenda ilikuwa ni UDSM,Niliondoka na gari yangu nikaenda kuipaki pale mawasiliano,sikutaka kwenda na gari pale Udsm kwasababu nilizozijua mimi,hivyo nikachukua Laptop 4 nikaziweka kwenye Begi la mgongoni kisha nikaanza kutembea mdogo mdogo kuelekea huko!

Ilikuwa mida ya saa 6 mchana,wakati naingia pale Udsm kuna wanafunzi kadhaa nilikutana nao lakini kila nikijaribu kuwasimamisha walinikaushia huku wengine wakisogeza Earphone zao vizuri ili waendelee kula ngoma za Kiba na Mondi fresh!.
Nikaona siyo kesi,nikaendelea kupandisha juu ili ikiwezekana nizigawe na kuondoka,na sikutaka kuzigawa kama pipi,nilitaka kwanza tupige stori mbili tatu ili nifahamu kabisa niliyeongea naye anaouhitaji huo!

Kuna mademu ambao nilikuwa nikiwaangalia naona kabisa hata chai yawezekana hawajanywa lakini ukiwasimamisha wanajifanya kunataka huku hata kukuangalia hawakuangalii!.

Nilifika hadi uelekeo wa ile Maktaba mpya nikakutana na sister mmoja ambaye umri wake ulikuwa umeenda kidogo,nikamsimamisha nikamuomba aniazime muda na akakubali,hivyo nikaanza kumuhoji na kiukweli alikuwa na uhitaji huo,ikabidi nichomoe laptop nikampatia na nikamkabidhi na ile $500,aisee yule sister alidhani natania maana aliruka kwa furaha mnoo!,baada ya hapo wakazingumza na mshikaji akamshukuru sana!

Nikaelekea kwenye vile vizimba vya kujisomea,nikakuta wanafunzi 4,jamaa 2 na mademu 2 ila baada ya kuwasalimia na kuomba niongee na mmoja nikaona wenzie wanaondoka wakamwambia atawakuta stendi wanamsubiri ili waondoke,jamaa naye nikaona mawazo yako kwa yule demu mwingine akaniambia Bro nina haraka utanisamehe!,Ok nikaona isiwe kesi,nikaondoka zangu kutafuta wengine!.

Zile lap top pale mlimani zote nilizigawa kwa wanafunzi wa kike kwasababu wanaume wote kila nikitaka kuzungumza nao wanajifanya wanaweka Earphone masikioni!.

Baada ya hapo nilielekea vyuo vingine pia!.

Ninachotaka kusema hapa ni kwamba,Wanafunzi wa vyuo wengi ni wajinga na malimbukeni for nothing!.

Wengi wanajiona wajanja kumbe ni wajinga tu,hata sisi vyuo tumesoma na hatukuwahi kuwa na ulimbukeni huo wa kijinga!.Badilikeni

Baada ya hilo tukio nasikia wameanza kufunguka masikio na wananisubiri sana,kuna wengine wananipigia simu sana nadhani namba walipewa na hao waliopata hiyo bahati,naishia tu kuwaambia labda siku nyingine maana ni zamu ya wanafunzi wa mikoani!.

Wanafunzi wa vyuo badilikeni,unaposoma huwa ni kuondoa ujinga kichwani na kuwa na maarifa mapya,lakini baadhi yenu mnakuwa wajinga kwa kunata kiasi kwamba utadhani ni wewe tu ndiyo mwenye degree hapa duaniani!.
Dah.. eti Boston state?!??!! Tangu lini?
 
Sio wanafuzi tu wa vyou hata wahitim wa vyuo Hawana maarifa yoyote ya utatuzi wa chagamoto zilizomo kwenye jamii zao. Wingi waishia kujitenga na jamii zao akifikiri kwa kuwa wamesema Hawana cha KUJIFUZA kwa watu ambao hawajasoma. NDIO MAANA WASOMI WENGI WAKO MIJINI WAKIZUNGUKA NA FILI YA VYETI KUTAFUTA KAZI. NA WENGINE WAKIGEUZWA KUWA CHAWA ILI WAJE WAPATE NAFASI ZA KUIBA KODI ZA WANANCHI. TANZANIA WATU HAWAELIMIKI BALI WANAKUWA INDOCTRINATED
 
Nakubaliana na wewe mkuu!
 
Msomi mzima unatapeliwaje?
Usomi haukuondoi kwenye ubinadamu......nje ya elimu yako wewe ni binadamu kama yule mwanakijiji wa Misungwi......na mwanadamu mapungufu kaumbiwa.......na matapeli mara nyingi wanatumia mapungufu yako kutimiza azima zao......

Kwa mfano mtu anajifunga kana kwamba ana kidonda kibichi akiomba msaada wa matibabu kwa haraka haraka ni vigumu kuthibitisha madai yake
 
Bila shaka mtoa mada wewe ndo mjinga, approach uliyotumia kwenye mazingira ya mtu msomi unaonekana you are still stupid. Unagawa PC kama wauza kahawa wa kariakoo.
If it was an outreach ungefuata utaratibu, uongozi wa chuo upo, uongozi wa wanafunzi upo.
Unaleta Conservatism in a civilised environment. Unasimamisha watu ovyo barabarani then unawaita stupid.
 
Mleta mada wewe ndie mpunbavu namba moja hujui usomacho badili heading isomeke baadhi sio wote

Heading uliyoweka wewe ndio unaonyesha mpumbavu kabisa Sample yako ya takwimu Ulihoji wanafunzi wote wa vyuo au kuwafuatilia wote kwa asilimia mia moja hukuacha hata mmoja kufikia hiyo conclusion kuwa wote wajinga wote wasoma vyuo?

Ningekuwa Proffessa wako nasimamia dissertation yako au research paper yako ningekupa sifuri na submission yako ninge chanachana na kutupa chooni pumbavu wewe mleta mada na ningeenda kununua rungu nikukimbize nalo nikutwange kunipotezea muda kusoma ujinga wako looooo

Hopeless nyoko wewe
Kumbuka mleta mada anajiita tukana uone
 
Bila shaka mtoa mada wewe ndo mjinga, approach uliyotumia kwenye mazingira ya mtu msomi unaonekana you are still stupid. Unagawa PC kama wauza kahawa wa kariakoo.
If it was an outreach ungefuata utaratibu, uongozi wa chuo upo, uongozi wa wanafunzi upo.
Unaleta Conservatism in a civilised environment. Unasimamisha watu ovyo barabarani then unawaita stupid.
Wewe sidhani kama kichwa chako kina Ubongo,yawezekana umebeba Tongotongo kichwani!

Hasira zako za kutokula kampelekee bwana yako!
 
😂matapeli ndo wanafanya tusimpe mda yoyote anaetaka kutuletea stori njiani
Hii nadharia ukiwa nayo mkuu itakupeleka mbali mnoo na utashinda!.

Nadhani hii ukipeleka kwa mademu pia hutokufa kwa ngoma maana kila manzi utakayemuona barabarani utakuwa unamuona kama kaungua!,Hongera kwako🤣
 
Back
Top Bottom