Kuna baadhi ya Vijana wa Chuo ni wajinga sana

Kuna baadhi ya Vijana wa Chuo ni wajinga sana

Mods naona wanemsaidia kurekebisha heading sasa hivi inasomeka baadhi .Hapo iko sawa Awashukuru Moderators kubadili heading yake
Kama huna ajira mkuu niambie nikakuajiri uwe msimamizi wa mashamba yangu kule Ruvuma!
 
Hii nadharia ukiwa nayo mkuu itakupeleka mbali mnoo na utashinda!.

Nadhani hii ukipeleka kwa mademu pia hutokufa kwa ngoma maana kila manzi utakayemuona barabarani utakuwa unamuona kama kaungua!,Hongera kwako🤣
Ngoja tu tuendelee kuwapuuza kuepuka tusiyoyajua. Vya bure hata ivyo sio vitamu
 
Mie ningekuwa wewe APPROACH niliyowaza kwa haraka ni hii

Ishu kama Laptop ningeigawa kwa tasnia ya IT kwa ujumla.

Nisingeangalia uwezo wa kumiliki bali UWEZO wa kuitumia ili ilete chachu ktk Jamii/Taifa na kwa mhusika kwa ujumla.

Ningeanzisha Shindano fupi tu la

1- Graphics designing
2- Webapp development
3- Music Production
4- Architecture
5- Cyber Security

Katika kila shindano hapo ningetenga laptop 5 pia ningeuza wazo langu kwa mashirika ya huduma za simu ili waniongeze3 wigo mkubwa wa zawadi na kuwafikiq walengwa kiurahisi..

Yaan ningesuka PROJECT moja hivi kali sana...

Hao washindi ningewaunganisha ktk PLATFORM moja.. ili wakuze ujuzi wao kama Team na wanyanyuke pamoja na ningefanya Monitoring endelevu.

Nimewaza tu haraka haraka..
 
Hili wazo ni zuri mkuu lakini kwanini wewe usilifanyie kazi?
 
Kama huna ajira mkuu niambie nikakuajiri uwe msimamizi wa mashamba yangu kule Ruvuma!
Soma wewe hata ukiwa mkulima Tanzania wakulima wakubwa wa estates mashamba makubwa sana wamesoma na ulaya na marekani ndio usiseme.Kuna maprofessor wakulima wako vizuri kichwani

Kuwa mkulima sio excuse ya kutosoma sana au kuwa na digrii kibao za kilimo au ufugaji
 
Wewe sidhani kama kichwa chako kina Ubongo,yawezekana umebeba Tongotongo kichwani!

Hasira zako za kutokula kampelekee bwana yako!
Sawa Endelea kuwa chawa wa Msweden.

Pia Boston Ni state ya Bonyokwa au?

Umesahau kutuambia alikulipa Nini kumfanyia hiyo Kazi ya kusimamisha watu ovyo kama kichaa?

Tafuta Kazi ya kudumu, uchawa sio Dili
 
Mleta mada wewe ndie mpunbavu namba moja hujui usomacho badili heading isomeke baadhi sio wote

Heading uliyoweka wewe ndio unaonyesha mpumbavu kabisa Sample yako ya takwimu Ulihoji wanafunzi wote wa vyuo au kuwafuatilia wote kwa asilimia mia moja hukuacha hata mmoja kufikia hiyo conclusion kuwa wote wajinga wote wasoma vyuo?

Ningekuwa Proffessa wako nasimamia dissertation yako au research paper yako ningekupa sifuri na submission yako ninge chanachana na kutupa chooni pumbavu wewe mleta mada na ningeenda kununua rungu nikukimbize nalo nikutwange kunipotezea muda kusoma ujinga wako looooo

Hopeless nyoko wewe
😂😂
 
Yani unaibuka tu kama wale matapeli wa network marketing wana haki wajikate, tena unabahati hawajakuita freemason unataka uwatoe kafara na zawadi zako
 
Bila shaka mtoa mada wewe ndo mjinga, approach uliyotumia kwenye mazingira ya mtu msomi unaonekana you are still stupid. Unagawa PC kama wauza kahawa wa kariakoo.
If it was an outreach ungefuata utaratibu, uongozi wa chuo upo, uongozi wa wanafunzi upo.
Unaleta Conservatism in a civilised environment. Unasimamisha watu ovyo barabarani then unawaita stupid.
Ukiwa msomi hutakiwi kuogopa kusikiliza watu popote. Msomi unatakiwa usikilize halafu ndio utumie usomi wako kujuwa upungufu wa ulicho ambiwa. Pia unatumia usomi kukubaliana au kukataa baada ya kusikiliza. Sasa wewe unataka wasomi wasikilize tu watu wanao fanana na mwalimu wao?
 
Back
Top Bottom