Tausi Rehani
Member
- Aug 29, 2020
- 22
- 45
Upo sawa mkuu. Kutapeliwa it has nothing to do with intellect mindset Ni akili binafsi isiyofunzwa darasani , inatokana tu na uzoefu wa matukio ya nyuma.Ukiwa msomi hutakiwi kuogopa kusikiliza watu popote. Msomi unatakiwa usikilize halafu ndio utumie usomi wako kujuwa upungufu wa ulicho ambiwa. Pia unatumia usomi kukubaliana au kukataa baada ya kusikiliza. Sasa wewe unataka wasomi wasikilize tu watu wanao fanana na mwalimu wao?
Ndiyo maana katika mazingira ya chuo huwezi kwenda Kwa mwanafunzi moja Kwa moja that's why kuna uongozi.
Ili kuonesha kwamba wewe Ni mtu halali na unachokigawa Hakina madhara Hasi Kwa mpokeaji.
Unanisimamisha na PC zako, najuaje kama haunibebeshi mabomu nikajitoe muhanga? What if upo kwenye mission ya kuua watu?
Ndomaana hizo checks lazima zifanyike na uongozi then mtoa mada angepewa mtu akaambatana naye ambaye Ni rahisi wanafunzi kumfahamu.
Chuo sio Bar nahisi mtoa mada alihisi anatembezea nguo za mitumba Bar watu wapo wanapata mvinyo.