TUKANA UONE
JF-Expert Member
- Jan 3, 2018
- 2,345
- 6,970
- Thread starter
-
- #41
Kama huna ajira mkuu niambie nikakuajiri uwe msimamizi wa mashamba yangu kule Ruvuma!Mods naona wanemsaidia kurekebisha heading sasa hivi inasomeka baadhi .Hapo iko sawa Awashukuru Moderators kubadili heading yake
Ngoja tu tuendelee kuwapuuza kuepuka tusiyoyajua. Vya bure hata ivyo sio vitamuHii nadharia ukiwa nayo mkuu itakupeleka mbali mnoo na utashinda!.
Nadhani hii ukipeleka kwa mademu pia hutokufa kwa ngoma maana kila manzi utakayemuona barabarani utakuwa unamuona kama kaungua!,Hongera kwakoπ€£
Fanya kazi mkuu kwa Bidii uenda ipo siku utatoboa!Ngoja tu tuendelee kuwapuuza kuepuka tusiyoyajua. Vya bure hata ivyo sio vitamu
Hili wazo ni zuri mkuu lakini kwanini wewe usilifanyie kazi?Mie ningekuwa wewe APPROACH niliyowaza kwa haraka ni hii
Ishu kama Laptop ningeigawa kwa tasnia ya IT kwa ujumla.
Nisingeangalia uwezo wa kumiliki bali UWEZO wa kuitumia ili ilete chachu ktk Jamii/Taifa na kwa mhusika kwa ujumla.
Ningeanzisha Shindano fupi tu la
1- Graphics designing
2- Webapp development
3- Music Production
4- Architecture
5- Cyber Security
Katika kila shindano hapo ningetenga laptop 5 pia ningeuza wazo langu kwa mashirika ya huduma za simu ili waniongeze3 wigo mkubwa wa zawadi na kuwafikiq walengwa kiurahisi..
Yaan ningesuka PROJECT moja hivi kali sana...
Hao washindi ningewaunganisha ktk PLATFORM moja.. ili wakuze ujuzi wao kama Team na wanyanyuke pamoja na ningefanya Monitoring endelevu.
Nimewaza tu haraka haraka..
Soma wewe hata ukiwa mkulima Tanzania wakulima wakubwa wa estates mashamba makubwa sana wamesoma na ulaya na marekani ndio usiseme.Kuna maprofessor wakulima wako vizuri kichwaniKama huna ajira mkuu niambie nikakuajiri uwe msimamizi wa mashamba yangu kule Ruvuma!
Naam. Juhudi na uvumilivu havimtupi mja wakeFanya kazi mkuu kwa Bidii uenda ipo siku utatoboa!
Sawa Endelea kuwa chawa wa Msweden.Wewe sidhani kama kichwa chako kina Ubongo,yawezekana umebeba Tongotongo kichwani!
Hasira zako za kutokula kampelekee bwana yako!
Nina project nyingi zipo jikoni nzuri zaidi ya hiyo ni swala la muda.Hili wazo ni zuri mkuu lakini kwanini wewe usilifanyie kazi?
ππMleta mada wewe ndie mpunbavu namba moja hujui usomacho badili heading isomeke baadhi sio wote
Heading uliyoweka wewe ndio unaonyesha mpumbavu kabisa Sample yako ya takwimu Ulihoji wanafunzi wote wa vyuo au kuwafuatilia wote kwa asilimia mia moja hukuacha hata mmoja kufikia hiyo conclusion kuwa wote wajinga wote wasoma vyuo?
Ningekuwa Proffessa wako nasimamia dissertation yako au research paper yako ningekupa sifuri na submission yako ninge chanachana na kutupa chooni pumbavu wewe mleta mada na ningeenda kununua rungu nikukimbize nalo nikutwange kunipotezea muda kusoma ujinga wako looooo
Hopeless nyoko wewe
Kwani tukiwa mkoani kuna tatizo. Kwetu MaraProject imehamia mikoani mkuu
Ukiwa msomi hutakiwi kuogopa kusikiliza watu popote. Msomi unatakiwa usikilize halafu ndio utumie usomi wako kujuwa upungufu wa ulicho ambiwa. Pia unatumia usomi kukubaliana au kukataa baada ya kusikiliza. Sasa wewe unataka wasomi wasikilize tu watu wanao fanana na mwalimu wao?Bila shaka mtoa mada wewe ndo mjinga, approach uliyotumia kwenye mazingira ya mtu msomi unaonekana you are still stupid. Unagawa PC kama wauza kahawa wa kariakoo.
If it was an outreach ungefuata utaratibu, uongozi wa chuo upo, uongozi wa wanafunzi upo.
Unaleta Conservatism in a civilised environment. Unasimamisha watu ovyo barabarani then unawaita stupid.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu msweden hakusema laptop nyingine uzipitishe JF?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jichanganyeeKama mambo yanakuaga hivi sometime, sitokua nampuuza yoyote ninaekutana nae njiani
Ntaumizwa sio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jichanganyee
Utajua hujui [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ntaumizwa sio