Kula vitu gani mangi?Dah uzi umenifanya nimeanza kula vitu asee😁
Kwani evelyn ni bro ?!No usiende hii thread inatuhitaji magwiji kama sisi bro
Nipo makumbusho naelekea posta mkuu, nipigie🤣🤣Dah sahivi uko wapi
VyomboKula vitu gani mangi?
Mwambie ni asubuhi sana huku time zone yetu🤣Vyombo
Safari za sasa kuna namna hazina ule ubora wa zamani 🤔Wakati wa kabla ya TBL kuchukuliwa na makaburu, kulikuwa na Safari Lager ike ya "Mtikila".
Ile ndiyo ilikuwa beer yangu.
Bia ilikuwa na heshima yake ukinywa ile watu wanauliza "Wewe unakunywa bia hiyoo?"
Dah vyombo etiKula vitu gani mangi?
Evelyn SaltKwani evelyn ni bro ?!
Asubuh watu wanapiga tungi...Ila saivi ni saa Saba mchana.Mwambie ni asubuhi sana huku time zone yetu🤣
Subiri kidogo mangi, huku kwetu ni saa saba kasoro, sijui huko ni saa ngapi🤣Dah vyombo eti
mchagua bia si mlevi gentleman 🐒Kwa nini wanaume wanaokunywa bia za Savannah, Redd's na Flying Fish wanatazamwa vibya au kutaniwa?
Hizi tabia nimeziona kwenye hizi bar za kati na changanyikeni. Mwanaume akiagiza hizi bia kwenye hizi bar hata muhudumu anamuuliza mara mbili mbili kuthibitisha kama amesikia vizuri alichoagizwa!
Huko wap mkuu nakula vyombo hapa kidimbwi asee😆Subiri kidogo mangi, huku kwetu ni saa saba kasoro, sijui huko ni saa ngapi🤣
Vijana wa leo hawawezi kupata ile kitu tuliita "Bunduki".Safari za sasa kuna namna hazina ule ubora wa zamani 🤔
Au zina manyonyoDesparado nayo mnaihesabu ni ya kike?!
Tualikane basi mangi, nina mda sana sipogi hizi mambo!Huko wap mkuu nakula vyombo hapa kidimbwi asee😆
Mishangazi 😀Ni kama mwanamke kuagiza safari huyo ni mlevi concord
Dah siku moja natumain tutakaa na wadau humu tupate vitu roho inataka 🍺Tualikane basi mangi, nina mda sana sipogi hizi mambo!
Hiyo bia laini ya kikekike,wanalambalamba mdomo shauri ya utamuSerengeti lemon inawekwa kundi gani?
Au ni unisex?
Hii nilikua nikinywa lazima asubuhi kichwa kiume hatari.Vijana wa leo hawawezi kupata ile kitu tuliita "Bunduki".
Halafu kulikuwa na bia moja kufuru, iliitwa "Bia Bingwa".
Ile ilikuwa maradufu ya Safari.
Ukinywa ile ilikuwa ni kama unataka sifa hivi.