ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Kula vitu gani mangi?Dah uzi umenifanya nimeanza kula vitu aseeš
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kula vitu gani mangi?Dah uzi umenifanya nimeanza kula vitu aseeš
Kwani evelyn ni bro ?!No usiende hii thread inatuhitaji magwiji kama sisi bro
Nipo makumbusho naelekea posta mkuu, nipigieš¤£š¤£Dah sahivi uko wapi
VyomboKula vitu gani mangi?
Mwambie ni asubuhi sana huku time zone yetuš¤£Vyombo
Safari za sasa kuna namna hazina ule ubora wa zamani š¤Wakati wa kabla ya TBL kuchukuliwa na makaburu, kulikuwa na Safari Lager ike ya "Mtikila".
Ile ndiyo ilikuwa beer yangu.
Bia ilikuwa na heshima yake ukinywa ile watu wanauliza "Wewe unakunywa bia hiyoo?"
Dah vyombo etiKula vitu gani mangi?
Evelyn SaltKwani evelyn ni bro ?!
Asubuh watu wanapiga tungi...Ila saivi ni saa Saba mchana.Mwambie ni asubuhi sana huku time zone yetuš¤£
Subiri kidogo mangi, huku kwetu ni saa saba kasoro, sijui huko ni saa ngapiš¤£Dah vyombo eti
mchagua bia si mlevi gentleman šKwa nini wanaume wanaokunywa bia za Savannah, Redd's na Flying Fish wanatazamwa vibya au kutaniwa?
Hizi tabia nimeziona kwenye hizi bar za kati na changanyikeni. Mwanaume akiagiza hizi bia kwenye hizi bar hata muhudumu anamuuliza mara mbili mbili kuthibitisha kama amesikia vizuri alichoagizwa!
Huko wap mkuu nakula vyombo hapa kidimbwi aseešSubiri kidogo mangi, huku kwetu ni saa saba kasoro, sijui huko ni saa ngapiš¤£
Vijana wa leo hawawezi kupata ile kitu tuliita "Bunduki".Safari za sasa kuna namna hazina ule ubora wa zamani š¤
Au zina manyonyoDesparado nayo mnaihesabu ni ya kike?!
Tualikane basi mangi, nina mda sana sipogi hizi mambo!Huko wap mkuu nakula vyombo hapa kidimbwi aseeš
Mishangazi šNi kama mwanamke kuagiza safari huyo ni mlevi concord
Dah siku moja natumain tutakaa na wadau humu tupate vitu roho inataka šŗTualikane basi mangi, nina mda sana sipogi hizi mambo!
Hiyo bia laini ya kikekike,wanalambalamba mdomo shauri ya utamuSerengeti lemon inawekwa kundi gani?
Au ni unisex?
Hii nilikua nikinywa lazima asubuhi kichwa kiume hatari.Vijana wa leo hawawezi kupata ile kitu tuliita "Bunduki".
Halafu kulikuwa na bia moja kufuru, iliitwa "Bia Bingwa".
Ile ilikuwa maradufu ya Safari.
Ukinywa ile ilikuwa ni kama unataka sifa hivi.