Kuna bia za kike na za kiume?

Kuna bia za kike na za kiume?

Wakati wa kabla ya TBL kuchukuliwa na makaburu, kulikuwa na Safari Lager ike ya "Mtikila".

Ile ndiyo ilikuwa beer yangu.

Bia ilikuwa na heshima yake ukinywa ile watu wanauliza "Wewe unakunywa bia hiyoo?"
Safari za sasa kuna namna hazina ule ubora wa zamani šŸ¤”
 
Kwa nini wanaume wanaokunywa bia za Savannah, Redd's na Flying Fish wanatazamwa vibya au kutaniwa?

Hizi tabia nimeziona kwenye hizi bar za kati na changanyikeni. Mwanaume akiagiza hizi bia kwenye hizi bar hata muhudumu anamuuliza mara mbili mbili kuthibitisha kama amesikia vizuri alichoagizwa!
mchagua bia si mlevi gentleman šŸ’
 
Vijana wa leo hawawezi kupata ile kitu tuliita "Bunduki".

Halafu kulikuwa na bia moja kufuru, iliitwa "Bia Bingwa".

Ile ilikuwa maradufu ya Safari.

Ukinywa ile ilikuwa ni kama unataka sifa hivi.
Hii nilikua nikinywa lazima asubuhi kichwa kiume hatari.
IMG-20250204-WA0000.jpg
 
Back
Top Bottom