Kuna bia za kike na za kiume?

Wanawake wanaokunywa konyagi
Huwa unawachukuliaje kwa upande wako mkuu
Binafsi mie huwa nawaona kama ni walevi kupita kiasi
 
Ni kawaida mno hapo ukitia nusu ya mchemsho wa kuku
Hata ukifika home unamwambia mama Watoto kuwa ulikuwa unachek mechi ya Arsenal
Umenikumbusha mbali kipindi hicho nipo na mama watoto kabla ya kufika nyumba kutokea ulevini nilikua kuna majani natafuna kupoteza ushahidi 😁😁😁
 
Umenikumbusha mbali kipindi hicho nipo na mama watoto kabla ya kufika nyumba kutokea ulevini nilikua kuna majani natafuna kupoteza ushahidi 😁😁😁
πŸ˜‚πŸ˜‚Ukila machungwa ukifika unapiga hadi busy hata hatagua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…