Kuna bia za kike na za kiume?

Kuna bia za kike na za kiume?

Hiyo ni mitazamo tu kwa sababu bia zote za light kwa sababu zina kilevi kidogo na laini zinachukuliwa ni za kike.

Na zile zenye kilevi kikubwa na nzito lagers zinachukuliwa ni za kiume .

Ila mtu yeyote anaweza tumia bia yoyote tu kulingana na matakwa yake.
Nimekuona
 
Kwa Nini mkuu, mfano bia Zina harufu mbaya..

Ukimuongelesha mtu kwa ukaribu pia jasho mkipishana unaona kabisa huyu ni mlevi..

Kuna wanao kunywa spirit tuu, wine TU, imported beer tuu na wale wa local beer bila kusahau banana,ulanzi, GONGO, chimpumu, niagieni e.t.c 😊😊
kwamba wanya pombe wanatoa harufu mbaya? :pedroP:

pombe haijawahi kua na harufu mbaya kwa mnywa pombe ispokua kwa asie kunywa ni kero gentleman...
hata hivyo,
kunywa spirit au impotred beer pekee, maana yake umeona vinywaji vingine havikupi burudani au unafanya hivyo kwa sababu za kiafya, prestige au ushauri wa kitabibu.

vinginevyo mlevi hachagui pombe.
 
Nauza lakini sinywi,,wacha siku nionje moja baada ya nyingine.
 
Back
Top Bottom