KERO Kuna changamoto kubwa ya upatikanaji wa maji Musoma Mjini, yanapatikana usiku

KERO Kuna changamoto kubwa ya upatikanaji wa maji Musoma Mjini, yanapatikana usiku

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Joama16

New Member
Joined
Jun 15, 2025
Posts
1
Reaction score
0
Kuna changamoto kubwa ya upatikanaji wa maji katika Manispaa ya Musoma Mjini. Maji yamekuwa yakipatikana zaidi nyakati za usiku na kwa kusuasua. Wakati mwingine tunakaa hadi wiki nzima bila kupata maji.

Tunaomba mamlaka husika ichukue hatua kuhakikisha wananchi wanapata huduma ya maji kwa uhakika na kwa wakati.
 
Back
Top Bottom