inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Anazoweshwa kufunga,alikua asipate tabu ya kufungaSi Bora hao ambao hawaifati kwa hiari yao kuliko nyie mnalazimishana.
Kuna jirani yangu huwa ana tabia ya kuwaahidi Watoto wake kuwa wakifunga atawapa zawadi. Sasa unajiuliza huyo mtoto anaelewa nini zaidi ya kufunga tu ili apate zawadi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huu mwezi sisi wauza kitimoto biashara inakuwa mbaya sana kwa sababu wadau wakubwa wanakuwa kwenye mfungo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huko ndo balaa yaan khaaah.Vipi huko Zanjibar
Bado hawajapiga marufuku kula chakula mchana magengeni ?
Hii dini ingeshika dola, wote tungesilimishwa kwa lazima.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kumbe ni kubadilisha tu ratiba. Unajippakia usiku kucha, alaf mchana unashinda njaaMwezi ukipita madhambi kama yote [emoji1787]
Kuna Rafiki yangu mmoja anaitwa ISSA enzi hizo niko nyumba zetu zileee za kushea, alikuwa anatukaribisha misosi ya nguvu mno kipindi kama hiki.
Saa 12, ftari na uji, 2 usiku daku, 4 usiku menyu kamili, na 10 au 11 alfajiri kukazia menyu.
Sasa najiuliza hivi huku ni kufunga kweli au kubadili tu ratiba ya msosi [emoji848]
Tena si msosi wa kawaida kama siku ambazo Jamaa hafungi bali ni msosi wa nguvu haswaa [emoji16]
Ni kwa sababu huelewi ramadhani ni nini!!?...hebu fanya ramadhani haipo,huyo mdangaji angekumbuka lini kwamba yeye muislam!!?...walau ramadhani inamkumbusha uwepo wa mungu,na inamshape mtu kuwa mchamungu,akikengeuka baada ya hapo ni juu yakeHakuna mwenye unafiki wa wazi wazi. Unakuta mtu yule mdangaji wa wazi wazi kuonyesha hadi matako mtandaoni..ramadhani ikifika anaacha, anajistiri na misemo ya quran inatawala.
Ikisha tu loh...balaa linaendelea tena kwa kasi zaidi.
Tunachowaomba.. mfungo wenu usiwakwaze wasio funga..hilo tu.
Kumbe mna imani ndogo kiasi hiki? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ramadhan haiwezi kufanana na kwaresma hata siku 1 ni vitu tofaut kabisa
Spain ilitawaliwa kwa miaka 200 na waislam,hakuna alibadilishwa dini kwa nguvuVipi huko Zanjibar
Bado hawajapiga marufuku kula chakula mchana magengeni ?
Hii dini ingeshika dola, wote tungesilimishwa kwa lazima.
Huu nao ni ubaguzi wa wazi. Kila mtanzania ana haki ya kuishi na kujenga popote.Mkuu hizo ni tamaduni za watu wa pwani unapofika mwezi wa Ramadhan.
Sasa kama wewe mgeni fuata tamaduni za wenyeji wako,huwezi rudi kwenu
Kumekuchaaaaaaah. Khaaah
Uwislam haupo Saudia tu,Temeke ni mji wa Saudi Arabia? Au kuna miji ya kidini hapa Tz? Fafanua
Wewe uliekuja leo mjini ndio unashangaa,lakini hizo ni tamaduni za watu wa pwani na zipo toka tunapata uhuru na wageni huzifuataKwa hiyo sterio ni mji wa waislamu? Tangu lini? Kuna sheria iliopitishwa kuelezea hayo? Endapo sio basi hamjui mipaka yenu.
Hujakatazwa kujenga au kuishi kikubwa kuheshimu tamaduni za wenyeji wakoHuu nao ni ubaguzi wa wazi. Kila mtanzania ana haki ya kuishi na kujenga popote.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanachekesha mnooo.Si Bora hao ambao hawaifati kwa hiari yao kuliko nyie mnalazimishana.
Kuna jirani yangu huwa ana tabia ya kuwaahidi Watoto wake kuwa wakifunga atawapa zawadi. Sasa unajiuliza huyo mtoto anaelewa nini zaidi ya kufunga tu ili apate zawadi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tena nilitaka niseme mie pia hivyo.kupigana busu hadharani haramu,ila faraghani ruksa
wangeikataa na hela ya hao makafili wanaokuja kutaliii
Je, huko stereo maduka yanayouza soda, maji, juice, vitafunwa, nk wameyafunga?Habari!
Kuna matukio lukuki ambayo yanaweza kutumika kama mifano ya unafiki wa baadhi ya Waislamu katika kipindi cha Ramadhani.
Mimi leo nitatoa mfano mmoja tu ambao nimeushudia leo SOKO LA STEREO Temeke.
Kuna mdada anauza uji katika soko la STEREO sasa leo kapigwa marufuku kwakuwa ni msimu wa Ramadhani.
Maswali ya kujiuliza;
- Mbona Kwaresma imeanza muda tu na sasa inaendelea lakini hakuna Mtanzania aliyepewa masharti ya namna ya kuuza au kula chakula chake halali?.
- Funga ni jambo la kiimani, je, imani zenu ni haba kiasi kwamba mkiona chakula mnazitupa mbali hizo imani?
Sawa mrembo mamaKombe la dunia linafanyika arabuni mwaka huu
Siyo kweli...lkn hata wote wangekuwa waislamu alfu wakristo na wapagani wangekuwa watano,hawana Haki ya kuuziwa chakula wale?Ukiona hivyo % kubwa hapo ni waislam
Ni mabadiliko tu ya ratiba ya kulaMwezi ukipita madhambi kama yote [emoji1787]
Kuna Rafiki yangu mmoja anaitwa ISSA enzi hizo niko nyumba zetu zileee za kushea, alikuwa anatukaribisha misosi ya nguvu mno kipindi kama hiki.
Saa 12, ftari na uji, 2 usiku daku, 4 usiku menyu kamili, na 10 au 11 alfajiri kukazia menyu.
Sasa najiuliza hivi huku ni kufunga kweli au kubadili tu ratiba ya msosi [emoji848]
Tena si msosi wa kawaida kama siku ambazo Jamaa hafungi bali ni msosi wa nguvu haswaa [emoji16]